Vatican yamkataa Balozi wa Ufaransa

Unajua ni nchi za watu gani unapoteza kichwa chako ukifanya kama
yule mchungaji wamarekani aliyeolewa na dume mwenzake
 
mbona hili neno mnalirembaremba?
eti "mpenzi wa jinsia moja"

Sema SHOGA tu au MFIRAJI kama sio MFIRWAJI
Huenda wewe ndio huelewi. Wapenzi wa jinsia moja sio lazima wawe wanaume, hata wanawake. Sasa wanawake utawaita mashoga? Bora ungeendelea kukaa kimya tusingekujua vizuri, kuliko ulivyoongea tukagundua uwezo wako mdogo wa kujua mambo mbalimbali
Kwa ufupi 'Wapenzi wa jinsia moja' ni general term kwa wanaume na wanawake
 
.... wanabaki kulisakama kanisa utazani hili tatzo halipo kwenye dini zao au jamii zao lakn mifano tunayo hata hapa Tanzania sehem walipo mashoga wengi ni sehem za hao hao wanaojifinya malaika kwamba kwao hakuna mashoga wakati wamejaa kibao
Mashoga maarufu wa Dar ni waisilamu, Anti Bilal, Anti Asu (Athuman) nk.
 
Unajua ni nchi za watu gani unapoteza kichwa chako ukifanya kama
yule mchungaji wamarekani aliyeolewa na dume mwenzake

Marekani mbali nenda lango la jiji magomeni ma anti kibao utawakuta pale travetine hotel usku wa taarab na majina yao ndiyo yale yale anti mudy,anti asu ,kazi kila siku kulinyooshea kanisa kidole wakati kwenye jamii yao ilo tatzo lipo sema wanajiona wao malaika kana kwamba haliwausu
 
Huyu hapa upande wa kushoto mwa pope francis balozi wa hao jamaa.
 

Attachments

  • 1429127178560.jpg
    15.6 KB · Views: 136

Kama JK alivyojaribiwa kuletewa balozi msen.ge. Aliruka hatua ishirini akamkataa......LOL
 
Hata kama unataka akafie huko, you don't know that Vatican is works very very carefully in gender issues, and sometimes they feeds to see feedback!.

Akafie huko, shetani mkubwa. Hasichafue vatican.
 
Hata kama unataka akafie huko, you don't know that Vatican is works very very carefully in gender issues, and sometimes they feeds to see feedback!.

how Man? i do not catch your point...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…