Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,957
Tatizo nini? Hata kama wamewatambua au wewe na Vatican hawakuwatambua, shida iko wapi wakati Aliye Waumba Anawatambua??
They are there, some of them are christian, even priests might be there too. So you cant deny the fact of their existence.Acha uzushi nakuharibu imani za watu, mabadiliko yoyote yale ya Catholic yanayofanyika Vatican lazima yasomwe kanisani mpaka kwenye jumuia ndogo ndogo, hizo link zenu mnazitoaga wapi wakati Vatican wana vyanzo vyao vya habari vinavyofahamika.
Nimeisoma habari hii Telegraph, ila Catholic wana vyanzo vyao na kila mabadiliko huwa yanafahamika mpaka ktk ngazi ya jumuia, ndogo ndogo, mm ni mkatoliki ningesikia tu na hiyo habari Telegraph sio wa kwanza kuandika ila Vatican wana source zake, huo ni uzushi kama uzushi mwingine amini hivyo.They are there, some of them are christian, even priests might be there too. So you cant deny the fact of their existence.
What the church must do, or has been trying to do is to recognise them.
Vatican has not been asleep as far as this issue is concerned. The challenge ahead is how should the church recognise them. 1st as people who live a lost life style. Meaning their way of life is not acceptable. Or should their life style be accepted.
That is what the church has not yet met a concencus,
But there are clerks who support that life style and they want it to be accepted by the church. And there are others who are conservative and, they want people who live such a life style to be declared still as going against the church tradition and Gods plan on way of life of men.
So we wait, though I doubt if the church will accept that way of life.
However, that doest not mean that The Catholic church doest not know about their existence and their need to be recognised , acknowledged and accepted by the church, with their life life style.
Acha uzushi nakuharibu imani za watu, mabadiliko yoyote yale ya Catholic yanayofanyika Vatican lazima yasomwe kanisani mpaka kwenye jumuia ndogo ndogo, hizo link zenu mnazitoaga wapi wakati Vatican wana vyanzo vyao vya habari vinavyofahamika.
Anayepigia debe ungese ni huyo mwalimu wa Shoga Yayo Agassi
Najua wewe hata kama Kanisa halijawatambua wewe unajitambua mwenyewe ni nani 😛😛
Kisilamu sulamu mepatia dogo [emoji4] [emoji12] sababu hata Muumba Wa viumbe vyote hujui [emoji38] unajua eti yayo agasi tena unavyo muheshimu umemuandika kwa herufi kubwa [emoji15] Msiba unao, omba toba kwa Mwenyezi!Waliumbwa na mwalimu wa Shoga Yayo Agassi ??
nilivyoona ID yako tu nikakumbuka ni yule shabiki kiimani anayejiita muumini maana siyo kwa povu hili. NAOMBA NIKUULIZE SWALI. WEWE NI MFUASI WA VATICAN AU NI MFUASI WA YESU UNAYEFUATA MAFUNDISHO YA BIBLE?Kisilamu sulamu mepatia dogo [emoji4] [emoji12] sababu hata Muumba Wa viumbe vyote hujui [emoji38] unajua eti yayo agasi tena unavyo muheshimu umemuandika kwa herufi kubwa [emoji15] Msiba unao, omba toba kwa Mwenyezi!
Official documents yoyote ile, lazima ingesomwa kanisani wakati wa misa na mpaka jumuia ndogo , kanisa katoliki sio show ya mtu mmoja, ni maamuzi yanayofanyika kijumuia zaidi baadaye ndio waraka huo unasambazwa dunia nzima, mpaka ngazi ya jumuia NARUDIA TENA HAMNA KITU KAMA HIKO na kama ungekuwepo ningeusikia mm kwani nipo active kuanzia kwenye jumuia yangu mpaka kanisani huo ni uzushi.
nilivyoona ID yako tu nikakumbuka ni yule shabiki kiimani anayejiita muumini maana siyo kwa povu hili. NAOMBA NIKUULIZE SWALI. WEWE NI MFUASI WA VATICAN AU NI MFUASI WA YESU UNAYEFUATA MAFUNDISHO YA BIBLE?
Ndoa za jinsia moja kanisa haliwezi pitisha hata miaka 1m ijayoAu ndoa za jinsia moja kama ulivyosema. Lazima ingetangazwa, au labda tusubirie.
Nnalofahamu swala hilo, pamoja na kuruhusu mapadre kuona ni mambo ambayo bado yanajadiliwa