Vashko sande amuoa mama mkwe wake

Zimbwabwe kwa Mara nyingine.
 
Rekebisha palipokosewaUislamu ni wewe umeuingiza kwa kutafuta uchochezi
dini ziko nyingi zinazoruhusu wake wengi sijaona sababu ya kunilazimisha kusema uislamu unahusikaNdio dini ninazozungumzia hapa hizo za machifu
Ungeniqoute mwenyewe ningeweza.

All the best lakini kila mmoja hujitasiri kwa alivyo.
 
Looh hivi si ndiyo mnasemaga mwanamke akizeeka na utamu wake unaisha hivyo hafai kuolewa sasa hapo what is not happening??
 
Sijui kwanini wanawake nao hawakuelekezwa na vitabu vya dini kuishi na waume zao kwa akili...mtu anaenda kukuolea mama yako mzazi bado upo tu dah...utii wa namna hiyo hapana kwa kweli... sijui wanatazamana vipi usoni hao watu
 
Uislamu upi unaouzungumzia? Kukaa kimya ni bora zaidi
Uislamu wa Mashariki ya Kati, wa Tanzania hauruhusu, full stop.
Na huko mashariki ya kati ikiridhiwa unakula mama yako, huku Tanzania hapana
 
Dunia imebadilika for sure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…