Wenye VAR yao waacheni watambe nayo Hata kwenye makosa yanayoonekana wazi, hata mpira ukitoka ili urushwe kwa mikono inabidi refa akaangalie Kwenye VAR ili mpira upelekwe sehemu sahihi refa asije akakosea π₯
Wenye VAR yao waacheni watambe nayo Hata kwenye makosa yanayoonekana wazi, hata mpira ukitoka ili urushwe kwa mikono inabidi refa akaangalie Kwenye VAR ili mpira upelekwe sehemu sahihi refa asije akakosea [emoji91]