ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,885
- 42,002
Sipitwi kuna mshenz kanikwaza kanikingie kifuahupitwi!
Sipitwi kuna mshenz kanikwaza kanikingie kifuahupitwi!
Wapi huko nikavae bomu wakwetu?Sipitwi kuna mshenz kanikwaza kanikingie kifua
jux ni mmakonde??Afadhali wameshtuka mapema, maana Mpare + Mmakonde wangezaa Mange mwingine.
vanessa mdee athibitisha rasmi kumbwaga jux mazima.
chanzo:clouds tv
Kama kabwagwa, acha uchonganishi. Siku wakirudiana pia uje useme.
Ni mwenyekiti wa kibitiHuyu Vanessa ni nani hapa Bongo?
MimiJuma mmakonde na Vanesa mpare yaan ilikuwa patashika nguo kuchanika.. mtoto angekuwa zaidi ya mzinguaji...
Shikamoo wamakonde
JUMA JUX
HARMORAPA
HARMONIZE
JAFFARAY
Endelea kuwataja unaowajuaaaaa...
vanessa mdee athibitisha rasmi kumbwaga jux mazima.
chanzo:clouds tv
