kabinti kazuri
Utachangia mwenyewe hao hata hatuwajuii
Wewe mtoto ni mwehu yani umenichekesha balaaaa
Mama mzima unaniita mtoto,,sasa huyo ni nani tena hapa tummesaidia sie kupiga ka soga
Mwenzangu ni mambo ya kizungu sasa sie waswahili tutayajulia wapi?Bora tukashangae kwingine
Utachangia mwenyewe hao hata hatuwajuii