Van Persie Out. Up to Four - Six Weeks

Van Persie Out. Up to Four - Six Weeks

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
17,572
Reaction score
27,416
BBC Sport - Robin van Persie: Man Utd striker ruled out for four-six weeks

Naona Huyu Mdau kaanza ile tabia yake ya kuumia umia.., ni Injury Prone Sana huenda ni sababu ya uchezaji wake.., Kwahio atamiss mechi zote na Bayern Munich
_73731198_5d24b322-687e-4d15-80c9-82afb8411b22.jpg
 
Uchezaji wake kivipi?? Fafanua mdau
 
Dah kwa sisi Wana Man U ni huzuni mkubwa kwetu ila kwa Arsenal wanacheka dah.
 
BBC Sport - Robin van Persie: Man Utd striker ruled out for four-six weeks

Naona Huyu Mdau kaanza ile tabia yake ya kuumia umia.., ni Injury Prone Sana huenda ni sababu ya uchezaji wake.., Kwahio atamiss mechi zote na Bayern Munich
_73731198_5d24b322-687e-4d15-80c9-82afb8411b22.jpg


Pamoja na kuumia kwake, kukosekana kwake kuweza kuwa a blessing in disguise. Siku za hivi karibuni ameonyesha kaujeuri fulani. At Man U, nobody is bigger than the club.
Nahisi itampa Moyes kujaribu formation nyingine bila kuleta kelele kwamba kamuacha star kwenye kikosi. Labda Champions League itakuwa issue, lakini kwa EPL, inaweza kuwa nafasi ya kumtumia Mata kwenye nafasi yake hasa. Yaani acheze nyuma ya Rooney katikati. Lakini hapo itabidi Carrick na mwingine sijui nani wawe holding midfielders. Katika ubora wake Fellaini angeweza lakini bado hajaonyesha kiwango pale Man U. Tumpe muda, maana Everton aliweza
 
Uchezaji wake kivipi?? Fafanua mdau

Unajua kuna watu kama Kieron Dyer, Michael Owen na Van Persie ni watu wa kuumia sana, tofauti na kina Maradona, Messi au hata Ronaldo.., sasa kwa mtu kama Michael wanasema alichezeshwa sana alivyokuwa mdogo na ana tatizo la hamstring.

Sasa inabidi watu tujiulize kwanini huyu dogo anaumia sana ? alivyokuwa Arsenal kila akienda kwenye timu ya taifa kucheza anarudi ameumia, sasa labda vile anavyokimbia na mpira au chenga zake zinapelekea kupigwa kiatu, ana matatizo sana ya knee na ankle problems anyway kuna jambo inabidi aangalie kwenye body yake.
 
According to hii article nimeisoma kumbe alivyokwenda Man U alianze kuvaa Body Helix ambayo ilimsaidia kupunguza kuumia kwake tujikumbushe injuries zake...

Robin Van Persie's secret weapon in staying injury-free at Manchester United | Mail Online

ARSENAL...

2007-2008: 23 appearances, 9 goals
Installed as Arsenal's first-choice striker following the departure of Thierry Henry, Van Persie was sidelined for two months in October after picking up a knee injury on international duty. Following a comeback in December, he suffered a recurrent injury that restricted his appearances for the remainder of the season.

2008-2009: 44 appearances, 20 goals
2009-2010: 19 appearances, 10 goals
Injured his ankle while on international duty in November. Initially sidelined for six weeks, further tests revealed he would be out for five months. Sure enough, Van Persie didn't feature again until April 14.

In a radical move, van Persie travelled to Serbia in 2009 to undergo an experimental treatment which involved dripping placenta onto his ankle.

2010-2011: 33 appearances, 22 goals
Suffered another ankle injury while making his 200th club appearance on August 28 and didn't return until November.

2011-2012: 48 appearances, 37 goals
RVP started wearing BodyHelix in February 2012.

MANCHESTER UNITED...
2012-2013: 48 appearances, 30 goals


Read more: Robin Van Persie's secret weapon in staying injury-free at Manchester United | Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook

Kwahio Man United waombe isije ikawa mfululizo wa injuries umerudi
 
Nikiwa kama The gooner nachekelea sana. Na bado......
 
this time HE WAS INJURED BY AN OPPONENT WHO HIT HIS KNEE FROM BEHIND. kwa maana hii mtu yeyote anaweza kuumia wether ur injury prone or not.
Hivi mwaka huu huyu jamaa ameshaumia mara ngapi ? amemiss games ngapi kwa kuumia ? Alafu wengine huwa miili yao ni kama chocolate au biscuits kidogo tu tayari..., In short jamaa ana Ankle and Knee problems just ask Arsenal watakwambia. au angalia jedwali hapo juu. Anatumia muda mwingi ugonjwani kuliko uwanjani
 
Hivi mwaka huu huyu jamaa ameshaumia mara ngapi ? amemiss games ngapi kwa kuumia ? Alafu wengine huwa miili yao ni kama chocolate au biscuits kidogo tu tayari..., In short jamaa ana Ankle and Knee problems just ask Arsenal watakwambia. au angalia jedwali hapo juu. Anatumia muda mwingi ugonjwani kuliko uwanjani

nilichoweka wazi ni KUWA THIS TIME AMEUMIZWA U CANT AVOID THAT ITS AN ACCIDENT.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom