Van Gaal baada ya kipigo cha Europa League

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,368
2,890
CbhgkWlWcAEwQBC.jpg:large
 
Huyu kocha ni JIPU aisee. Sema ana bahati yuko team ambayo wamiliki wake (Glazers) hawajui chochote kuhusu football. Wako after biashara tu.
 
LvG si jipu. ni kocha mzuri, aliyeibua na kukuza vipaji vya wachezaji maarufu kama akina Iniesta na Xavi; na kutwaa taji nyingi.
 
Kumkuza iniesta hakumuondolei sifa yake kuu ya kuwa jipu. Hilo tena Busha ooghs. Kama ni kocha mzuri angekuwa na Matokeo ama la hata chemistry ya timu tungeiona
 
Back
Top Bottom