Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,501
- 119,454
Ghafla bin vuu Magufuli huyo akatinga kwenye ofisi za wizara ya fedha.
Mara huyo akaibukia hospitali ya taifa Muhimbili.
Hatujakaa sawa Majaliwa naye huyo akavamia bandarini.
Kabla hata hajaenda ofisini kwake Kigwangala huyo akavamia sijui hospitali gani.
Na wengineo [hao wakubwa] wakaanza kuiga. Wakawa kama wanashindana nani ni mvamizi zaidi.
Wengine tulijua hayo yote ni magirini. Ni gesi ya soda tu.
Sasa ni kitambo kidogo sijasikia yeyote yule kavamia mahali.
Hapa nilipo najiuliza...kulikoni? Pepsi imeishiwa gesi au?