pierre tall JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,289 Reaction score 3,860 Feb 14, 2016 #41 Kigodoro said: Historian yake ni nzuri sana na malengo ya siku hii ni mema sana. Lakini practicability yake kwa sasa ni tofauti kabisa. This is a mutant valentine's day. Click to expand... Malengo yake yaliwahusu watu walio katika mahusiano ya kimapenzi tu...ila sasa watu mnalazimisha iwe kama mwaka mpya...
Kigodoro said: Historian yake ni nzuri sana na malengo ya siku hii ni mema sana. Lakini practicability yake kwa sasa ni tofauti kabisa. This is a mutant valentine's day. Click to expand... Malengo yake yaliwahusu watu walio katika mahusiano ya kimapenzi tu...ila sasa watu mnalazimisha iwe kama mwaka mpya...
K Kigodoro JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 1,665 Reaction score 1,686 Feb 14, 2016 Thread starter #42 J.lee said: Hilo neni kunyerokunyero limenichekesha sana mkuu mtoa mada Click to expand... Mkuu acha tuongeze misamiati ktk lugha ya taifa letu;- kiswahili.
J.lee said: Hilo neni kunyerokunyero limenichekesha sana mkuu mtoa mada Click to expand... Mkuu acha tuongeze misamiati ktk lugha ya taifa letu;- kiswahili.
DesertStorm JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 3,305 Reaction score 2,719 Feb 14, 2016 #43 Saint Ivuga said: Utamu wa mume muwe wawili Click to expand... Ha ha haa hayo yote wanayo mkuu! hawa viumbe hatari sana.. wanakulana denda tu kwenda mbele
Saint Ivuga said: Utamu wa mume muwe wawili Click to expand... Ha ha haa hayo yote wanayo mkuu! hawa viumbe hatari sana.. wanakulana denda tu kwenda mbele
K Kigodoro JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 1,665 Reaction score 1,686 Feb 14, 2016 Thread starter #44 pierre tall said: Malengo yake yaliwahusu watu walio katika mahusiano ya kimapenzi tu...ila sasa watu mnalazimisha iwe kama mwaka mpya... Click to expand... Mmh!
pierre tall said: Malengo yake yaliwahusu watu walio katika mahusiano ya kimapenzi tu...ila sasa watu mnalazimisha iwe kama mwaka mpya... Click to expand... Mmh!