Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
Washamba ndio wanaoonyeshaga upendo siku ya Valentine. Hao hao ndio huzini siku hiyo.Naendelea kuwakumbusha tu kwamba valentine day inaangukia jumatano ya majivu..
Ukizini una kesi na Mungu wako
Hahahahaha
Dog valentine utalia kwa kanisa ahahahq
AhahahahaWenye wapenzi wao watakuwa wamekusikia tuu mkuu,usiwaze saana.
Amen mtumishiWashamba ndio wanaoonyeshaga upendo siku ya Valentine. Hao hao ndio huzini siku hiyo.
Sisi wajanja kwetu kila siku ni Valentine's day. Upendo 24/7 siku 365 za mwaka.
Anyways hata ukizini leo una kesi na Mungu na haitakuwa kesi ndogo kuliko ya yule atakaezini siku ya Valentine. Zote ni sawa tu mbele ya uso wa Mungu.
Ipi sasa?!Jumapili watatupu basi
Nina mana show ta valentine imeaharibiwa na j5 ya majivu kuzini tena mpaka pasaka iisheHakuna siku ambayo tumeruhusiwa kuzini. Usiisingizie Juma tano ya majivu
Valentine ndio walikuwa wanafanyia kufuruukizin siku yoyote una kesi na mungu wako
AhahahahaHapa kuna mtu alitaka kunitoa sealed j5 nimeghairi
Valentine watu walipania kukomoaaa sasa imeangukia j5 ya kwaresma ahahahaKwa hiyo ukizini siku zingine tofauti na hiyo jtano unakuwa huna kesi kwa mungu?