Valentine hii kupo kimyaaaaa

Tupo Kwetu Pazuri Tabata.Tumeanza kunywa kuanzia saa 9 mchana.Watu kibao na madem zao
 
Tupo Kwetu Pazuri Tabata.Tumeanza kunywa kuanzia saa 9 mchana.Watu kibao na madem zao
mhhh au itakua ni kwetu tuu huku makao makuu ya chama na serikali nini?
 
leo ni siku ya kazi watu hawawezi kunywa tangu asubuhi

Mashabiki wa ndala eti wamegoma kuvaa nguo nyekundu

tukutane kwa mchina
[emoji57][emoji57][emoji57]
 


Vipi unataka kuhongwa? Huko tayari kutoa nami nikupe?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…