Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,590
- 15,743
Weeee Sema kweliHahahahaha mimi sio mbabaifu...ila jamaa yako hapo juu kapanic...acha atoe yeye..mie yangu utaipata tu usijari
Weeee Sema kweliHahahahaha mimi sio mbabaifu...ila jamaa yako hapo juu kapanic...acha atoe yeye..mie yangu utaipata tu usijari
Hili wazo ni nzuri sana mkuu.Nenda nae mahali mle chakula Kisha kafanyeni mapenzi kwa nguvu zenu zote hiyo ndio kumbukumbu mwanamke atakumbuka ikibidi mpe na mimba na jersey Moja nzuri ila isiwe common basi
HahahahahaWeeee Sema kweli
Watu mna mikwara😂😂😂Hahahahaha..akishindwa nione ..nikuelekeze sehemu ukachukue hiyo simu uitakayo
Hahahahaha kudadeki
Nakuelewa kiongozi,watu wengine sio wa kuwazingatia mkuu,, kuna sonona huku nje.. watu wanasononeka hadi vitu vya kucheka 😂😂😂😂Nimesema ukikosa kwa mtu wako wa karibu ...njoo nitakupa mimi....hii haina tatizo...hapo juu kuna boya limepanic nadhani yeye ndio yuko serious zaidi
Hahahahahaha...mkwara tena ? Haya kama mikwara ..kibubu kiponeWatu mna mikwara😂😂😂
Hahahahahaha...sasa sonona ya nn yy a chit chatNakuelewa kiongozi,watu wengine sio wa kuwazingatia mkuu,, kuna sonona huku nje.. watu wanasononeka hadi vitu vya kucheka 😂😂😂😂
Wee jamaa🤒😂Nenda nae mahali mle chakula Kisha kafanyeni mapenzi kwa nguvu zenu zote hiyo ndio kumbukumbu mwanamke atakumbuka ikibidi mpe na mimba na jersey Moja nzuri ila isiwe common basi
oooh 😂😂😂,, me niliandika uzi chit chat watu wakaanza kunifanyia counseling mkuu.. wako wako serious na maisha😂😂😂😂Hahahahahaha...sasa sonona ya nn yy a chit chat
Hahahahaha duh.. unapewa shauri nasaha Hahahahaha...wabongo kwa kujipa kazioooh 😂😂😂,, me niliandika uzi chit chat watu wakaanza kunifanyia counseling mkuu.. wako wako serious na maisha😂😂😂😂
Haha😃🙌🙌Hahahahaha duh.. unapewa shauri nasaha Hahahahaha...wabongo kwa kujipa kazi
Ntakupa hivyo hivyo 😎Mimi mtu akinipa gari nikiona dalili za kuachana nauza tukose wote 😂😂
ampe gari asmpe card😂😂Penzi tamu linaloridhisha na zawadi ya kuvalika....gauni au kiatu au saa kama uwezo wako mzuri Gari(akikuacha Gari arudishe)....maana mapenz nayo yana expire date