Nimeanza mda mrefu sana kumsoma huyu dada hajawahi kuwa na majibu ya kuudhi na ni mtulivu wakat wa hatari. Vaislay nmekupenda sana nahitaji uwe mke wangu. Tafadhari sana nipo serious na hili.
Weraaa weraaaaaaaaaaaaaa wenye bahati zaoooooo lara 1 njoo huku uone mambo
Haya shemeji mpya hebu weka picha tuone kama unakidhi viwango, sie tukutetee mpaka Vaislay akubalii, Kaizer umepata mume mwenza wapii shemu wangu wa ukweeee Vin Diesel