Vaislay unahtajika mrejesho


hutafanikiwa kumpata hizi ndoto za alinacha za kujenga nyumba kwenye upepo ....vai ana bwanake na familia tunamtambua.
ikimpta nitaomba BAN ya maisha jf
 
Aiseeee wewe unanini na mimi??
usitafute kik kwa jina langu tafadhali...We familia yangu unaijulia wapi?? leo hii iwe mwanzo na mwisho kuweka thread yenye jina langu....
Nilishakuambia SIKUTAKIIIII mbona unanifata fata hivyo...yaan umekaa huko na kuanza kufikiri kudanganya watu hapaaa...
USHINDWE TENA NA UKOME
 
Last edited by a moderator:
hutafanikiwa kumpata hizi ndoto za alinacha za kujenga nyumba kwenye upepo ....vai ana bwanake na familia tunamtambua.
ikimpta nitomba BAN ya maisha jf

Kumbe wewe ni mwanaume ICHANA
 
Last edited by a moderator:

ohoo! Mbona huku unakataa wakat kule mambo yashaiva?
 

Thanks baby
Huyu kazid kuanzisha sired kila siku
TAMKO Hilooiooooooo
 
hutafanikiwa kumpata hizi ndoto za alinacha za kujenga nyumba kwenye upepo ....vai ana bwanake na familia tunamtambua.
ikimpta nitomba BAN ya maisha jf

anaota ota tu huyu jamaa...sijui vip yani....
nilishamwambia aache kunifata na sitaki ukaribu na yeye wa dizaini yoyote...akaona aje na ID NYINGINE
 

Eh.! Sitaki ushahidi. Mods mimi siko.
 
hakuna lolote nipo na mdogo wangu huyu kavurugwa

halafu nakuangalia tu. Au ndio ww jana wakkat nmekaa na wazee walikuwa wanasema bado Rosemary hajatoa tamko
 

eeh mke mwenza!!,taratibu nikajua umempa go ahead!
 
Thanks baby
Huyu kazid kuanzisha sired kila siku
TAMKO Hilooiooooooo

darling beba huyo mtu tupa kule..wenzie wanatafuta kik za maana ye anataka kik jf..si ujinga huu
 
anaota ota tu huyu jamaa...sijui vip yani....
nilishamwambia aache kunifata na sitaki ukaribu na yeye wa dizaini yoyote...akaona aje na ID NYINGINE

halafu ID gani unayoisema nmekuja nayo kivingne?
 

Aisee .....

JF imeshakuwa ya aina hii kweli?

Mtu anakuja kumuanzishia mtu siredi bila hata kufikiri

Pole binti ....

Ila huu sasa ni ujinga mkubwa sana na Mods sijui wako wapi

Fanyeni jambo bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…