Je, wewe ni mtaalamu wa mawasiliano mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri, Kuchambua mambo na kushawishi? Je, unaweza kuingia kwenye boardrooms za makampuni makubwa Dar es salaam na kuuza mawazo ya kimkakati ?
Taasisi yetu (NGO) inayojishughulisha na sekta ya Nishati (Energy sector) inakutafuta wewe!
Majukumu ya kazi
1. Kuwakilisha taasisi kwenye vikao vya ofisi na makampuni mengine.
2. Kuiongelea miradi yetu ya nishati kwa lugha ya kibiashara ili kupata ushrikiano na miswada.
3. Kujenga mahusiano ya kimkakati na wadau wa nishati.
Sifa zako
Elimu: Degree moja (Bachelor's degree) kwenye fani yoyote inayohusika (PR, Corporate communications, Business n.k)
Uzoefu: kuanzia mwaka 1 katika kilele cha corporate PR, partnerships au Business development.
Akili na uwezo: Uwezo mkubwa wa kufikiri haraka ( critical thinking), Kukuamini na kujieleza vizuri sana kwa kiingereza na kiswahili.
Location: Dar es salaam.
Jinsi ya kuomba
Kama unajiona una sifa hizi na una akili ya kutosha kupambana kwenye sekta ya Nishati,
Tuma CV kupitia email:
Samkilas444@gmail.com