haha, nilishakwambia haya mambo zamani sana, tatizo "weye" ni mgumu kusoma alama za nyakati!! nilisema hivii, kwanza ni ngumu sana kwa mtu mzima kupata malnutrition. pili, hata akipata hiyo malnutrition, haishushi kinga ya mwili kiasi cha yeye kupata magonjwa nyemelezi. lakini pia, nilitoa ushahidi humu kwamba asilimia 98 ya watu wote wenye magonjwa nyemelezi kwa ajili ya upungufu wa kinga wamekutwa na HIV. hiyo asilimia 2 unayoitetea ni insignificant!!
halafu, hujiulizi kwanini kule PM sikukujibu? maana you have no reason, bila hata kujali unayemuadress ni nani, unakimbilia kuniambia kwamba utaachisha ndugu zangu ARV,, bila reasoning.wala facts!! ulitegemea nikujibu kweli? when you sound sooo deluded?
hata picha uoni? njoo tena!"
Deception said:.......
3.Huyo mtoto mwenye miaka 9 anatumia ARVs?Anaumwa nini hasa?Nitajie vyote anavyoumwa kama hutajali.
Halafu Je,Uko tayari nitoe mchango wangu kwa huyo mtoto?Kama anatumia ARVs,sitamwachisha kwanza,nitamhudumia hadi apone anachoumwa,halafu nitatoa option ya kuacha,simlazimishi aache,yeye mwenyewe ataamua.Kama hutajali basi naomba tumtumie huyu mtoto kama mfano,kwanza kabisa nita focus kumuondolea matatizo aliyonayo.
Karibu sana.
Yaani wewe una mdomo mchafu sana.Naona umerudi kule kwenye fani yako ya mipasho.Hivi kwa nini unapenda sana kudanganya watu wewe?
Mimi nilikwambia unipe nafasi nimtibu huyo mtoto ambaye wewe unasema amedhoofika kwa sababu ya HIV,halafu akishapona ndio yeye mwenyewe ataamua aache ARVs au asiache,sikusema nitamwachisha ARVs.Sijui kwanini doctor mzima unakuwa mwongo hivyo.Sasa ina maana hata hiyo option ya kumtibu peke yake huitaki?je,hutaki apone?Au ulikuwa unanitega?
Sasa nime copy na ku pest nilichokwambia ili watu wote waone ni nani anasema ukweli na nani anadanganya.
Sasa wapi kwenye hiyo quote nimesema nitamwachisha ARVs,sijafanya editing kwenye hiyo quote zaidi ya kupunguza maneno ya juu yake tu.
Mimi kwa kweli simpendi sana mtu mwongo mwongo na anayepindisha maneno kutafuta sifa.Na hii tabia pengine ndio inayokufanya usiwe focused.Huelewi unachokitetea.Bado mimi nataka kweli kumtibu huyo mtoto kama kweli yupo,kama ulinidanganya basi unaweza kuni PM nitakuelewa tu.
eti unaniandikia "njoo tena",yaani umekaa kimipasho mipasho kweli,mimi siko hapa kushindana na wewe.Kwa kuwa nimeona kama ni makabrasha na theories kila mtu anazo za kwake,hivyo njia pekee ya kujua ukweli ni kuona kwa macho.Sasa mimi nilitaka tumtumie huyo mtoto kama ushuhuda,nilitaka kumtibu tu kwanza ili na wewe ujionee.Sasa unaanza kuleta mipasho kuukimbia ukweli.
Nadhani wenye akili wameshagundua jambo hapa.
Yaani wewe una mdomo mchafu sana.Naona umerudi kule kwenye fani yako ya mipasho.Hivi kwa nini unapenda sana kudanganya watu wewe?
Mimi nilikwambia unipe nafasi nimtibu huyo mtoto ambaye wewe unasema amedhoofika kwa sababu ya HIV,halafu akishapona ndio yeye mwenyewe ataamua aache ARVs au asiache,sikusema nitamwachisha ARVs.Sijui kwanini doctor mzima unakuwa mwongo hivyo.Sasa ina maana hata hiyo option ya kumtibu peke yake huitaki?je,hutaki apone?Au ulikuwa unanitega?
Sasa nime copy na ku pest nilichokwambia ili watu wote waone ni nani anasema ukweli na nani anadanganya.
Sasa wapi kwenye hiyo quote nimesema nitamwachisha ARVs,sijafanya editing kwenye hiyo quote zaidi ya kupunguza maneno ya juu yake tu.
Mimi kwa kweli simpendi sana mtu mwongo mwongo na anayepindisha maneno kutafuta sifa.Na hii tabia pengine ndio inayokufanya usiwe focused.Huelewi unachokitetea.Bado mimi nataka kweli kumtibu huyo mtoto kama kweli yupo,kama ulinidanganya basi unaweza kuni PM nitakuelewa tu.
eti unaniandikia "njoo tena",yaani umekaa kimipasho mipasho kweli,mimi siko hapa kushindana na wewe.Kwa kuwa nimeona kama ni makabrasha na theories kila mtu anazo za kwake,hivyo njia pekee ya kujua ukweli ni kuona kwa macho.Sasa mimi nilitaka tumtumie huyo mtoto kama ushuhuda,nilitaka kumtibu tu kwanza ili na wewe ujionee.Sasa unaanza kuleta mipasho kuukimbia ukweli.
Nadhani wenye akili wameshagundua jambo hapa.
...unakimbilia kuniambia kwamba utaachisha ndugu zangu ARV,, bila reasoning.wala facts!!...
wala hata sikukudanganya. huyo ni ndugu yangu na namuhudumia kwa dhati. wewe mwenyewe ulisuggest kimtibu bila kueleza utamtibu vp hasa, na hata ku-suggest kuacha dawa baadaye....
Mkuu Deception nakuomba usimjibu chochote huyo Shoga #Kupe , atakutoa kwenye mada.
Na wewe Kupe nenda kacheze unako chezaga.
Heshima kwenu wakuu.
Me naamini kuwa kama mkuu Deception na mkuu mkuyati og wangekaa meza moja na kushirikiana, hakika tunge-crack the code ktk utata huu.
As such, I humbly recommend the following:
1. Deception na Mkuyati og, wafanye arrangements za kukutana na kufahamiana;
2. Kwa vile kaka Mkuyati ni daktari, najua anao wagonjwa wengi wanaosumbuliwa na maradhi ya Ukimwi. Kwa vile kaka Deception anaeleza kuwa kafanya uchunguzi muda mrefu na ana uzoefu halisi kabsa kwa wagonjwa wa maradhi ya Ukimwi, basi naamini ana uhakika na madai yake hayo.
Kama ethics za udaktari zinaruhusu, na kwa consent ya mgonjwa husika, basi wataalaamu hawa washirikishe utaalaamu/uzoefu wao kumtibu mgonjwa mmoja tu ambae ameshadhoofika afya. Deception ampe ushauri mgonjwa, na ushauri huo utekelezwe/ufanyike kwa mgonjwa.
NOTE: kuacha ARVs ama kuendelea nazo, aamue mgonjwa mwenyewe, yani awe full informed kuhusu mambo haya. Mmfanyie monitoring for some months, then mfanye evaluation na ukweli ujulikane.
3. Kuhusu Deception kudungwa damu ya yenye HIV. Suala hili pia mkuu Deception aridhie na lifanyike. Then mrejesho uletwe hapa wazi ukweli ujulikane.
4. Mambo hayo yote yafanyike under no cost! Thus, yeyote kati ya Mkuyati au Deception, asiombe malipo ama fidia ktk mchakato huo.
Najua wote tuna lengo jema kabsa ambalo ni kutoa nafuu/suluhu kwenye afya za watu wenye maradhi ya Ukimwi. So pande zote mbili ziungane friendly na kwa nia njema ili kupata ukweli wa jambo hili la HIV/AIDS!
I believe that mkifikia muafaka wa kuupata UKWELI halisi wa jambo hili, mtakuwa mmesaidia na kuokoa afya za watu wengi ambao wanashindwa waamini kipi na waache kipi ktk msigano huu.
Please brothers, be kindly so advised!
Yangu ni hayo wakuu. RUKSA kwa yeyote to polish the said recommendations.
.....Kama ethics za udaktari zinaruhusu, na kwa consent ya mgonjwa husika, basi wataalaamu hawa washirikishe utaalaamu/uzoefu wao kumtibu mgonjwa mmoja tu ambae ameshadhoofika afya. Deception ampe ushauri mgonjwa, na ushauri huo utekelezwe/ufanyike kwa mgonjwa.
NOTE: kuacha ARVs ama kuendelea nazo, aamue mgonjwa mwenyewe, yani awe full informed kuhusu mambo haya. Mmfanyie monitoring for some months, then mfanye evaluation na ukweli ujulikane.
3. Kuhusu Deception kudungwa damu ya yenye HIV. Suala hili pia mkuu Deception aridhie na lifanyike. Then mrejesho uletwe hapa wazi ukweli ujulikane......
Hii mada nimeisoma na natarajia kuirudia tena,katika kuisoma kuna mambo nimegundua mengi tu nitaelezea machache....
Kwanza hapa kuna ishu ya kujua hasa ukimwi ni kitu gani,ukimwi kwa tafsiri ya neno lenyewe ni upungufu wa kinga mwilini,upungufu huu wa kinga mwilini umekiwa ukijulikana kama ugonjwa kwa wengi sana na ndio maana kumekuwa na kauli kama "angalia usiniambukize ukimwi",hajaweza kumuambukiza ukimwi" n.k
Kauli hizi zinaonesha kuwa wengi wa watu wanajua ukimwi ni ugonjwa kabisa na unaua kama vile malaria,hili kwanza ni tatizo kubwa na nasikitika sana mtu pekee ambae kwenye uzi huu amekuwa akipigania kutofautisha hili ni Deception tu na sio hawa madaktari wetu,ingekuwa jambo la.maana sana kama watakuja na kuanza kuelezea ukimwi ni nini.maana nikisema mimi hapa kuna kundi kubwa sana la watu hawatachukulia maneno yangu serious hivyo nawaomba hawa madaktari waje hapa.wawaelezee na kufafanua hada ukimwi ni nini...
Baada ya hilo kuna ishu ya kile kinachosababisha hio ukimwi,hapa ndio kuna mziki mnene haswaaa,madaktari wanaamini kwamba kuna kirusi kinachosababisha huu ugonjwa na Deception na mzee wa.kigonzile na wengine nikiwemo mimi hapa siamini hii kitu mpaka sasa hivi japokuwa hapo mwanzo nilikuwa naamini hivyo
Jambo la msingi na kubwa kabla ya kwenda huko kwenye kirusi kusababisha ugonjwa tunapaswa kwanza kupewa uthibitisho wa uwepo wa kirusi hiyu ndio twende kwenye kukagua kama anaweza kusababisha "ugonjwa" husika kwasababu hata kama kiruso huyo yupo bado inawezekana asiwe na uwezo wa kushusha kinga ya mwili
Kwahiyo sasa tukishapewa uthibitisho wa uwepo wa kirusi anaeitwa HIV ndipo tutaanza kudai uthibitisho wa kirusi huyu kusababisha anayofaiwa kisababisha,mpaka sasa sijaona ushahidi ambao hauna shaka kina kirusi huyu yupo na ni huyu hapa na ushahidi mzuri ni kwanza wa picha,kwa maana hii ningependa hawa madaktari wakimaliza zoezi la kuelezea ukimwi ni nini waje na ushahidi wa uwepo wa kirusi huyu kwanza maana hili ni jambo ambalo dunia nzima inalitaka....
Wapo ambao wamesema wametoa "proof" ya mdudu huyu kusababisha ukimwi,kwanza watu hawa wameruka stage ya pili hapo ya kutoa uthibitisho wa uwepo wa kirusi huyo maana kamahuna uthibitisho wa kirusi husika madai ya kwamba kirusi huyo anafanya hiki na kile umeyatoa wapi? Bila shaka yatakuwa ya kutunga,kama mdudu huyu yupo watuletee picha hapa kila mmoja aione na kama hawana nawashauri kabla hawajaja hapa na bla bla za kudai kuna mdudi anafanya hiki na kile wakati mduduwenyewe hawana ushahidi wa uwepo wake ni bora wakatafute kwanza ushahidi wa uwepo wake ndio tuanzie hapo
Pamoja na idhaifu huo,hicho walichotoa hapo sio uthibitisho bali ni dhana inayodaiwa kutendwa na kijidudu ambacho hata uwepo wake no shida,hebu fikiria ni kwa namna ipi utaweza.kujua fulani anafanya hiki na kile wakati hata huna uhakika yupo? Na ikumbukwe uhakika uwa uwepo wake upo na ni wa kumuona,kama hujamuona ni ngumu sana kujua sifa zake na utendaji wake wa kazi? Kwa maana hiyo maelezo ya hawa ndugu japokuwa maelezo hayawezi kichukuliwa kama."proof" lakini hata kama tukiamua kuyachukulia hivyo bado suala la uthibitisho aa uwepo wa mdudi husika unafanya hayo maelezo yawe ni ya kupoteza muda...
Kwa hiyo ili tupate kwa kuanzia ni vyema tukaanza na haya kwanza....
Mkuu umetokea wapi?Hapa naona wanaojadili na kuelewa ni madaktari na watu wengine waliosoma biology kwa level hata ya A-level ila sisi wa KLF ni shida sana
Mkuu hatawewe unaruhusiwa kutoa kile unachokijua kuhusu UKIMWI.huu uzi sijaufuatilia sana toka mwanzon...ila nilicho gundua mwisho wa siku ni upotoshaji mtupu....na udhalilishaji wa proffesnal za watu..hasa ma DR...ni vizuri kama mtu atatoa mchango wake kwakile akijuacho na siyo ku kashifu taaluma za watu....kwaajili ya ushabiki maandazi...!!
huu uzi sijaufuatilia sana toka mwanzon...ila nilicho gundua mwisho wa siku ni upotoshaji mtupu....na udhalilishaji wa proffesnal za watu..hasa ma DR...ni vizuri kama mtu atatoa mchango wake kwakile akijuacho na siyo ku kashifu taaluma za watu....kwaajili ya ushabiki maandazi...!!