Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Kesho asubuhi Nikiamka Nikumbushe Nikupe Maelezo ya Kina kwa UkichowasilishaIbrahimu hajawahi fika Makka
Alkaaba ndio nyumba ya Allah yaani ndio msikiti wenyewe; na ndio kiini cha ibada ya Waislamu ulimwenguni mwote. Nyumba hii ikidaiwa ilijengwa na Ibrahimu.
Muislamu yoyote asiposali kwa kuelekea kibra (ilipo alkaaba) ibada yake aiswii (kukubalika). Moja ya nguzo katika nguzo tano za uislamu ni kuhiji Maka kwa mtu mwenye uwezo. Hivyo ni tamanio la kila Muislamu duniani kufika hapo kabla hajafa. Wakiamini madhambi yako yote yanasamehewa ukifika hapo.
Ndio maana hata Mwijaku alifika hapo lakini mmmh. Hujaj yoyote yupo tayari kufia hapo kwenye alkaaba akiamini kama atakufa basi pepo ni yake. Hivyo wakifika hapo ni HARMAGEDON WAR ili kubusu jiwe jeusi iwe kwa amani au kwa show ya kibabe kama hiyo hapo unayoiona wakiminyana mbavu mbele za nyumba ya Allah.
View attachment 3326462
Uongo waliomezeshwa waislamu
Muislamu yoyote ameaminishwa kwamba alkaaba ilijengwa na Ibrahimu na mwanawe Ishamel. Hakuna uthibitisho wa kihistoria kwamba Ibrahimu alifika Maka zaidi ya ngano za Waarabu. Kutoka Canaan hadi Maka ni kilomita 1397. Hata Ishmael hajawahi ishi Maka, aliishi katika jangwa la Beersheba ambalo limeshikamana na jangwa la Paran.
Ndio maana alivyokufa Ibrahimu alikuja na kumzika pamoja na Isaka. Hivyo waliishi jirani tu. Sasa fikiria utoke Maka hadi Canaan kumzika mtu kwa usafiri wa Ngamia uweze? Hata kwa bus huwezi fika siku hiyo hiyo. Na kwanza atakuwa hajaoza tu? Au walikuwa na mochwari sio? Na nani alimpelekea Ishmael habari kwa umbali huo?
View attachment 3326466
Hivyo uongo wa Ibrahimu kujenga Alkaaba hauna tofauti na dai la Wakatoliki kwamba Petro ni papa wa kwanza na kwamba kanisa lililopo Vatican limejengwa juu yake. Alkaaba ilijengwa na waabudu miungu hasa mungu mkuu wa makabila ya mashariki aliyejulikana kama Baal au Hubali aliyeabudiwa na Waarabu na wakamwita Allah mungu wa mji wa Maka na Alkaaba.
View attachment 3326469
Na mjenzi mkuu wa ibada hiyo ni Wababeli na huko Hejaz aliyejenga ibada ya Hubali na mungu mwezi ni Nabonidas (mwabudu mwezi) mwana wa Nebukradreza.
View attachment 3326470
Na ndio maana hata leo mwezi na nyota ni ishara za uislamu maana eneo hilo kabla ya Uislamu waliishi waabudu mwezi.
View attachment 3326471
Ukweli sio rahisi kuzikwa.
Kaka kwema ? Nami unitag ,niendelee kupata elimu kwakoKesho asubuhi Nikiamka Nikumbushe Nikupe Maelezo ya Kina kwa Ukichowasilisha
Uko sahihi, director mmoja wapo wa hiyo movie si ni Mel G!UONGO: HUYU SIO MUNGU
Vunjeni masanamu yake makanisani, mtoeni kwenye rozari na mapicha picha ya ukutani
HUYU mwamba ni muigizaji tu
Anzisheni thread Kila siku ila mnajifariji wenyewe tuIbrahimu hajawahi fika Makka
Alkaaba ndio nyumba ya Allah yaani ndio msikiti wenyewe; na ndio kiini cha ibada ya Waislamu ulimwenguni mwote. Nyumba hii ikidaiwa ilijengwa na Ibrahimu.
Muislamu yoyote asiposali kwa kuelekea kibra (ilipo alkaaba) ibada yake aiswii (kukubalika). Moja ya nguzo katika nguzo tano za uislamu ni kuhiji Maka kwa mtu mwenye uwezo. Hivyo ni tamanio la kila Muislamu duniani kufika hapo kabla hajafa. Wakiamini madhambi yako yote yanasamehewa ukifika hapo.
Ndio maana hata Mwijaku alifika hapo lakini mmmh. Hujaj yoyote yupo tayari kufia hapo kwenye alkaaba akiamini kama atakufa basi pepo ni yake. Hivyo wakifika hapo ni HARMAGEDON WAR ili kubusu jiwe jeusi iwe kwa amani au kwa show ya kibabe kama hiyo hapo unayoiona wakiminyana mbavu mbele za nyumba ya Allah.
View attachment 3326462
Uongo waliomezeshwa waislamu
Muislamu yoyote ameaminishwa kwamba alkaaba ilijengwa na Ibrahimu na mwanawe Ishamel. Hakuna uthibitisho wa kihistoria kwamba Ibrahimu alifika Maka zaidi ya ngano za Waarabu. Kutoka Canaan hadi Maka ni kilomita 1397. Hata Ishmael hajawahi ishi Maka, aliishi katika jangwa la Beersheba ambalo limeshikamana na jangwa la Paran.
Ndio maana alivyokufa Ibrahimu alikuja na kumzika pamoja na Isaka. Hivyo waliishi jirani tu. Sasa fikiria utoke Maka hadi Canaan kumzika mtu kwa usafiri wa Ngamia uweze? Hata kwa bus huwezi fika siku hiyo hiyo. Na kwanza atakuwa hajaoza tu? Au walikuwa na mochwari sio? Na nani alimpelekea Ishmael habari kwa umbali huo?
View attachment 3326466
Hivyo uongo wa Ibrahimu kujenga Alkaaba hauna tofauti na dai la Wakatoliki kwamba Petro ni papa wa kwanza na kwamba kanisa lililopo Vatican limejengwa juu yake. Alkaaba ilijengwa na waabudu miungu hasa mungu mkuu wa makabila ya mashariki aliyejulikana kama Baal au Hubali aliyeabudiwa na Waarabu na wakamwita Allah mungu wa mji wa Maka na Alkaaba.
View attachment 3326469
Na mjenzi mkuu wa ibada hiyo ni Wababeli na huko Hejaz aliyejenga ibada ya Hubali na mungu mwezi ni Nabonidas (mwabudu mwezi) mwana wa Nebukradreza.
View attachment 3326470
Na ndio maana hata leo mwezi na nyota ni ishara za uislamu maana eneo hilo kabla ya Uislamu waliishi waabudu mwezi.
View attachment 3326471
Ukweli sio rahisi kuzikwa.
UISLAMU hatusomi chatgptUko sahihi, director mmoja wapo wa hiyo movie si ni Mel G!
Mada ya jamaa, ni kweli Baal ni Allah?
Hata angefika, inatusaidia nini sisi tulioletewa huu ujinga na kuua mila zetu hadi kubatilisha majina yetu na kutupachika yao?Ibrahimu hajawahi fika Makka
Alkaaba ndio nyumba ya Allah yaani ndio msikiti wenyewe; na ndio kiini cha ibada ya Waislamu ulimwenguni mwote. Nyumba hii ikidaiwa ilijengwa na Ibrahimu.
Muislamu yoyote asiposali kwa kuelekea kibra (ilipo alkaaba) ibada yake aiswii (kukubalika). Moja ya nguzo katika nguzo tano za uislamu ni kuhiji Maka kwa mtu mwenye uwezo. Hivyo ni tamanio la kila Muislamu duniani kufika hapo kabla hajafa. Wakiamini madhambi yako yote yanasamehewa ukifika hapo.
Ndio maana hata Mwijaku alifika hapo lakini mmmh. Hujaj yoyote yupo tayari kufia hapo kwenye alkaaba akiamini kama atakufa basi pepo ni yake. Hivyo wakifika hapo ni HARMAGEDON WAR ili kubusu jiwe jeusi iwe kwa amani au kwa show ya kibabe kama hiyo hapo unayoiona wakiminyana mbavu mbele za nyumba ya Allah.
View attachment 3326462
Uongo waliomezeshwa waislamu
Muislamu yoyote ameaminishwa kwamba alkaaba ilijengwa na Ibrahimu na mwanawe Ishamel. Hakuna uthibitisho wa kihistoria kwamba Ibrahimu alifika Maka zaidi ya ngano za Waarabu. Kutoka Canaan hadi Maka ni kilomita 1397. Hata Ishmael hajawahi ishi Maka, aliishi katika jangwa la Beersheba ambalo limeshikamana na jangwa la Paran.
Ndio maana alivyokufa Ibrahimu alikuja na kumzika pamoja na Isaka. Hivyo waliishi jirani tu. Sasa fikiria utoke Maka hadi Canaan kumzika mtu kwa usafiri wa Ngamia uweze? Hata kwa bus huwezi fika siku hiyo hiyo. Na kwanza atakuwa hajaoza tu? Au walikuwa na mochwari sio? Na nani alimpelekea Ishmael habari kwa umbali huo?
View attachment 3326466
Hivyo uongo wa Ibrahimu kujenga Alkaaba hauna tofauti na dai la Wakatoliki kwamba Petro ni papa wa kwanza na kwamba kanisa lililopo Vatican limejengwa juu yake. Alkaaba ilijengwa na waabudu miungu hasa mungu mkuu wa makabila ya mashariki aliyejulikana kama Baal au Hubali aliyeabudiwa na Waarabu na wakamwita Allah mungu wa mji wa Maka na Alkaaba.
View attachment 3326469
Na mjenzi mkuu wa ibada hiyo ni Wababeli na huko Hejaz aliyejenga ibada ya Hubali na mungu mwezi ni Nabonidas (mwabudu mwezi) mwana wa Nebukradreza.
View attachment 3326470
Na ndio maana hata leo mwezi na nyota ni ishara za uislamu maana eneo hilo kabla ya Uislamu waliishi waabudu mwezi.
View attachment 3326471
Ukweli sio rahisi kuzikwa.
Malizia kumuabudu Mungu wako ulaleNikisema Mimi wanasema na chuki na uislamu,Bora mseme nyie
Hakuna maandiko ya kihistoria yaliyothibitishwa ya kabla ya Uislamu (kabla ya karne ya 7 BK) yanayoonyesha Ibrahimu aliwahi kufika au kuhusika na ujenzi wa Alkaaba. Wakristo na Wayahudi (ambao pia wanamheshimu Ibrahimu) hawana rejea zozote za Ibrahimu kufika kusini mbali huko Maka.UISLAMU hatusomi chatgpt
Wajinga ambao hata Biblia yenu hamuijui kazi kwenda kucheza miziki kanisani mtatuambia nini kwenye UISLAMU ambao tunakaa na kusoma UISLAMU wetu
Yaani mgalatia anifundishe mimi UISLAMU?
Huku anamuabudia comedian
Naomba unitagKesho asubuhi Nikiamka Nikumbushe Nikupe Maelezo ya Kina kwa Ukichowasilisha
Je, Alkaaba ilijengwa na waabudu miungu kabla ya Uislamu?Malizia kumuabudu Mungu wako ulale
MWAMBA HUYU HAPA
"Hubal was brought to Mecca by the Amr ibn Luhayy, a chief of the Khuza tribe..."
Wakatoliki na waislamu ni wale wale ,maana Ukatoliki ulianzisha uislamuWewe endelea kusujudia bikra maria
Mambo ya historia za dini kwa kugoogle achana nayo.
Au na wewe unaamini yesu alimwaga damu ili ufutiwe dhambi?
Au wewe unaamini Yesu mwana wa Mungu babake alishindwa muokoa mpaka washkaji wakamtundika kwenye mlingoti!