Uzushi dhidi ya Mwl.Kashindye-Igunga

Uzushi dhidi ya Mwl.Kashindye-Igunga

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
57,956
Reaction score
134,036
Wadau kuna upotoshaji uliletwa na wana CCM tawi la ACT kwamba Mwl.Kashindye aliyekuwa mgombea Chadema Igunga amejiweka pembeni na Chadema.Habari hizi sio za kweli na hata uzushi haufahamiki kabisa Igunga.Kudhihirisha hilo Kashindye yupo na gari ndogo plale no.T445 ALT,akitangaza ratiba ya uchaguzi wa Chama hicho.Gari hilo limepambwa na bendera za Chadema lipo maeneo ya Sayari karibu na parking ya Mohamed Trans.Ninazo taarifa za Dr.Kafumu kumrubuni Kashindye ajitoe CHADEMA kwa ahadi ya kumpatia ajira mgodini.Namshauri Dr.Kafumu badala ya ku-deal na Kashindye,angepigania pesa za fidia ya Tanesco iliyoliwa na DC Elibariki Kingu
 
asante kwa ufafanuzi
 
Mbona wanamzushia sana huyo jamaa?atakuwa ni tishio huko
 
Mbona wanamzushia sana huyo jamaa?atakuwa ni tishio huko

vibaya sana,Zito mwenyewe kajiribu bahati yake akashindwa,jamaa akamkumbusha unafiki wake ktk uchaguzi mdogo,alipokuwa anamnadi mchana,usiku anawatumia sms watu wasimchague,
 
ninao uhakika kwamba KAFUMU anamuogopa KASHINDYE vibaya sana ! Ushauri wangu kwa kashindye asidanganywe , amebakisha muda mfupi sana kabla hajawa mbunge wa igunga.
 
ACT kweli ni mafundi wa kununua makamanda wa chadema wamekosa kosa kumnunua diwani wa kata ya ISEKE kupitia chadema Bw.Emmanuel J.Jingu hela ni za ccm au act.
 
ninao uhakika kwamba KAFUMU anamuogopa KASHINDYE vibaya sana ! Ushauri wangu kwa kashindye asidanganywe , amebakisha muda mfupi sana kabla hajawa mbunge wa igunga.

kibaya zaidi Kash kajikita vijijini na kesho anafanya uchaguzi Mwanzugi.sasa Kafumu hawezi enda kule vijijini,kuna shida sana ya maji na barabara,na yeye aliahidi
 
Kamanda Kashindye kama ana akili basi atavumilia na kuachana na huu upuuzi wa ccm kupita act,umebaki mwaka mmoja tu awe mbunge wa Igunga.Akijichanganya tu basi kapotea kwenye ramani ya siasa!
 
Mbona wanamzushia sana huyo jamaa?atakuwa ni tishio huko
Ukiona buku 7 a.k.a team Lumumba wanamzushia mtu uongo ujue huyo ni tishio kwao wakimsikia tu mapepo yanawapanda.
 
Wewe ndio wakiri wake. Watu wengine bwana! Si atadai yeye. Nayeye hawezi kudai maana ubunge aliokuwa anatafuta ulikuwa wakwake.Kashindye usipotoshwe ACT imesheheni behewa la ukanda wa kigoma,na u......Kazi kwako.
 
Wakiri ni nini mkuu?
 
Mlipeni mwl kashindye pesa zake alizojigharamia kwenye kampeni

Tutahakikisha tuko busy kupost mambo mema na mazuri yatakayokuwa yakifanywa na MM kila wakati na kuzidi kusambaza sifa zake njema kila inapotokea nafasi. Atakayefanya kazi hiyo ni sisi wengine wala si yeye! Pia tutahakikisha kila post ya kumchafua inapatiwa majibu bila kutumia ID yake inayojulikana. Ni vema aidha akatupatia majibu na sisi kuyapost ama afungue ID mpya kabisa ambazo hazijawahi kuwepo kwenye mitandao halafu ndo awe anazitumia kujibu lakini kwa kuzingatia tuliyokwishayazungumza hapo juu yaani kutofanya kwa emotion na kuepuka jazba lakini pia kushauriana na watu wa karibu kabla ya kutoa majibu kwa jambo lolote linalomhusu.

Mwl.kashindye ni tishio kubwa sana kwa magamba Hahaha mpaka kafumu anamuogopa na buku saba lumumba wana mzushia uongo
 
Mlipeni mwl kashindye pesa zake alizojigharamia kwenye kampeni

CHADEMA hamna sehemu iloandikwa ulipwe fidia ktk katiba yake, vile vile ukiwa CHADEMA vitendo kwanza majungu hakuna na pia ujitolee kukijenga pasipo masharti yeyote. Wana CHADEMA wa kweli huwezi kumrubuni kwa hali yeyote ba ndugu.Kama wabisha nenda kijijini kwetu Lituhi wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma kawarubuni wanakijiji harafu uje utoe taarifa.
 
Back
Top Bottom