Ndugu wana J.F nadhani huu usemi wa "uzuri wa nyumba choo" sio mgeni kweni kwani ni moja ya misemo ambayo huipa lugha yetu ya kiswahili kashkash na nakshi.
Katika pitapita zangu huwa nikipita mitaani najitahidi hasa kuchunguza vijana wa kiume hasa mijini ambako dada zetu huvalia vingua ambavyo vina naksh maumbile yake hasa mofolojia.
Na katika uchunguzi wang nimeona vijana wengi wakiangalia hasa sehemu ya kutolea" Tigo pesa" nikimaanisha choo ya mwanamke na mara nyingi wadada au wanawake wenye Choo kikubwa vijana wengi hupenda kukisindikiza kwa macho mpaka kinaishiria hasa maeneo ya vijiweni.
Jana katika pitapita zangu maeneo ya mlimani city nikiwa nimekaa eneo la katikati kwenye viti na vijana kama sita hivi nilishuhudia vyoo vyembamba vya kizungu na kichina vikipita lakini hakuna mtu aliyeshtuka.
Lakini kilipita choo kimoja cha kibongo kila mmoja alikisindikiza huku akiguna nikatambua hakika waafrika wanavyoo bomba kabisa.
Chaajabu mdada huyo mwenye choo chake kizuri alikitembeza kama kakisahau nyuma si chake huku kikirindika na kupepea kama bendera hata wazungu wawili waliokia wakipishana nacho ilibidi wachunguze na kuhakiki kama kweli ile mofolojia ina sadiki hata kwa upande wa chooni.
Hakika wadada wetu wa kibongo wanavyoo yakinifu.
Ndo jukwaa lenyewe hili mkuu,haliishi vioja.Hili jukwaa la mapoozeo mtu ukishapigwa za chembe huko jukwaa la siasa ukiingia full maraha.sijui nimepotea jukwaa!!!!
Mchoro ni kipindi cha ukoloni
Kuna mdau aliwahi kunidokeza kuwa mstari wa Ikweta unamaana zaidi ya kijiografia! Kukatia mstari wa Ikweta kuja chini (Kusini) mawazo yao muda wote ni chini ya kiuno tuu!! Mara makalio, mara mahipsi, mara miguu hata hamueleweki!! Na ndio maana ukimwi umeweka kambi katika nchi hizi
Hakika wadada wetu wa kibongo wanavyoo yakinifu.
Mchoro ni kipindi cha ukoloni