Duuh .......
Siko kwenye ndoa ila nimejaribu kuidadavua ndoa kama jina.
Ndoa ni nzuri na njema inaposomeka kwa herufi zote kuanzia N hadi A. Ila ukiondoa herufi ya moja tuu hapo ndo shughuli huanza.
Badala ya ndoa inakuwa DOA hapo umeondoa N
Badala ya ndoa inakuwa NOA hapo umeondoa D
Badala ya ndoa inakuwa NDA hapo umeondoa O
Badala ya ndoa inakuwa NDO hapo umeondoa A
Ili ikamilike na iwe tamu na njema herufi zote zitimie. Ikipungua moja tuu ni shida.
Anyways acha wenye ndoa waje watupe mchanganuo wa ndoa zao.
Kasie Kibibi