OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
ndio it's obvious,kuna wadada kabisaa unaona ni mzuri zaidi yako na unakubali UKWELI,na mwingine unajua hakutishi lolote..
Tofauti na nyie wanaume 'achievement' matters zaidi kuliko looks
A way too confident!!!!I have done it before and those arpund me claimed I looked younger.
Btw kama mzuri mzuri tuuu hata uvae gunia.
Whats so difficult about admitting that. Mungu kaumba acha kabisaa.
apo kwenye 'type' sijaelewa,
ila ndo hvo yani,mambo ya 'in the eyes of beholder' faraja tu..
duh....... nime-imagine.....mmmmm saloon ziwepo tu aseeWanawake hawana uzuri wowote ni hizo lipstick,poda, mini-skirt n.k ndo vinavyo wapendezesha kama huamini fanya hii research ndogo
1)Mchukue mwanamke mnyoe nyele zote
2)mnawishe uso na maji ya chumvi
3)mpeleke msibani alie weeeeeee
halafu muangalie kama hauta kimbia
Ni kwamba nimeelewa kuwa wanaume tunapimwa kwa achievement na wewe ni muumini wa kipimo hiko????!!!
Waswahili tuna msemo kwamba uzuri wa mwanamke ni tabia, mbona akipita mwanamke wanaume tunaangalia ------,,!au tabia iko matakoni??
i must admit ni muumini ndio,japo other factors naangalia pia
Picha yake ni
uzuri wa mwanamke ni USAFI i.e mazingira, mwili, tabia,
uzuri wa mwanamke ni USAFI i.e mazingira, mwili, tabia,
wala sijui kinachoendelea tanzania
ndo maana nikauliza hicho chama cha kijani ndo kipi
Other factors zinaanzia wapi mpaka wapi???!!!