mkuu naomba ufanye kwanza hiyo research alafu ulete majibu hapa
Huoni kama tabia ndio inachukua nafasi ya kwanza ebu nambie tabia unaweza nunua kwa wachina?Mmmmmhhhhhh kwamba tabia ikiwa poa mengine mtanunua dukani na kwa wachina????!!!!
Nshafanya sana...tatizo unashindwa elewa kuw kun uzur wa ku bust kwa make ups na wateva na kuna mwingine hatupii make up wala nn bt anavutia kanyoa nywele fupi kpaka mafuta kawaida tu bt yupo hot...ila wew waonekan unadefine uzuri kwa stail hyoo ya kutupia vitu artificial or uzuri=kupendeza kulingan na maelez yako
Ila unaweza pita mitaan ukakuta watot wa mitaan no make ups hajaoga two days bt utasem she z hot ila akipata matunzo atakuwa fire
Wanawake hawana uzuri wowote ni hizo lipstick,poda, mini-skirt n.k ndo vinavyo wapendezesha kama huamini fanya hii research ndogo
1)Mchukue mwanamke mnyoe nyele zote
2)mnawishe uso na maji ya chumvi
3)mpeleke msibani alie weeeeeee
halafu muangalie kama hauta kimbia
mkuu ulishawai kukutana na demu katoka kuamka au yuko msibani analia alafu bado yuko hot?
Huoni kama tabia ndio inachukua nafasi ya kwanza ebu nambie tabia unaweza nunua kwa wachina?
Wanawake hawana uzuri wowote ni hizo lipstick,poda, mini-skirt n.k ndo vinavyo wapendezesha kama huamini fanya hii research ndogo
1)Mchukue mwanamke mnyoe nyele zote
2)mnawishe uso na maji ya chumvi
3)mpeleke msibani alie weeeeeee
halafu muangalie kama hauta kimbia
mbona nasisi tukiwapita nao huwa wanageuka, wao huwa wanaangalia nini?Waswahili tuna msemo kwamba uzuri wa mwanamke ni tabia, mbona akipita mwanamke wanaume tunaangalia ------,,!au tabia iko matakoni??
Huyo haongelei mwanamke. Asikupotezee mda.
Papuchi
Tabia ndio ya kwanza vyengine mapambo tuu...
mkuu uzur wa mwanamke upo pale pale haijalishi anyoe kipara au asinyoe. Inekuwa hvyo unavyofikir wew kuruta wa jeshi wanawake wasingekuwa wanabanjuliwa pamoja na kunyoa vipara lakin wanabaki wazur vilevile na je, umewahi kujiuliza wanawake wa kimasai?? Walivyo na vipara na wananuka maziwa lakin kazi kama kawa
vipo mbona! kwani wewe haupo kwenye lile deni la bilioni mia ngapi kwa kila mtz-ania?
sio kweli ,ndo mana hata kwenye bible some women kama sara, rebeca,rachel na leah walitajwa kuwa wazuri,..hayo ya tabia ni nyongeza tu nakujifariji
Huyo haongelei mwanamke. Asikupotezee mda.
Maneno hayooo!!!!!!
Leo hapa mi nataka kujua kitu kimoja hivi hata nyie wadada huwa mnakubali kuwa kati yenu kuna "visu"?????!!!!
Naomba ukanyoe kipara (kichwani)!!!
Maneno hayooo!!!!!!
Leo hapa mi nataka kujua kitu kimoja hivi hata nyie wadada huwa mnakubali kuwa kati yenu kuna "visu"?????!!!!