Namna Uzungu umechangia kuharibu sana ndoa!!

Namna Uzungu umechangia kuharibu sana ndoa!!

Zamani kabla ya uzungu ndoa zilikuwa nzuri heshima ilidumu mno. ila saiv uzungu umeleta hasara kibao.ndoa saiv inawaka moto ambao hauzimiki.
Kwani wewe umeishi kwenye ndoa miaka mingapi hadi umetoa ulinganishaji wa zamani na hadi huo uzungu ulioziharibu?Ukitaja na hizo hasara itakuwa vema zaidi ndugu Ayatollah!
 
Zamani kabla ya uzungu ndoa zilikuwa nzuri heshima ilidumu mno. ila saiv uzungu umeleta hasara kibao.ndoa saiv inawaka moto ambao hauzimiki.
Ni kwel na haswa hizi Tv mana watoto wa kike na hizi series za uturuki mara telenovela,mindset zao zimebadilika kabisa wanajua yale ndo maisha halis,kila mwanamke anapambana apate pesa ajikwamue na sio kuikwamua familia NO.

Mfano mdogo tu ukigombana na mkeo atakwambia usinibabaishe me mwenyewe nina uwezo wa kuish mwenyewe,yan anakujibu macho makavu,nilihudhuria shughuli ya jiran ya kumpongeza binti yao kwakumaliza chuo,ilipofika zamu ya mama kutoa neno,alimwambia binti yake " mwanangu tafuta pesa kwa nguvu wanaume sio watu tafuta hela mwanngu" niliogopa plus kuona haya mana yale sio maneno yakujenga ilinifikirisha sana kwa kwel .
 
Uzungu unaharibu ndoa kivip?? ama sio mabinti ndiyo wana ulimbukeni mwingi pasi na kutumia akili wanaweka mihemko mbele ??
 
Back
Top Bottom