Ukweli ni kwamba siku unayoingia
airport unatakiwa declaration Kwa customs pesa uliyonayo na siku ukitaka kutoka tena wanaweza wakakukaguwa na kujuwa pesa ulizokuwa nazo..
Kwa kifupi kama unaingia na magumashi jiandae kisaikolojia.
Na kama utakuwa na pesa zaidi ya ulivyoingia basi suspect ya kujihusisha na biashara haramu itaanzia hapo.
Na utakuwa unafatiliwa na watu wa usalama nyendo zako zote bila wewe kujuwa kuanzia unapoungia inchini hadi watakapojiridhisha wenyewe.