Mkuu, kwanza hongera sana kwa majibu mazuri kwa muuliza swali nadhani akiyazingatia haya atakua kwenye nafasi nzuri sana ya kufanya vizuri,
Pili, nimekua mfuatiliaji Sana wa maelezo/majibu Yako kuhusiana na namna ya kujibu haya maswali ya usahili, uliwahi kuleta Uzi nadhani ni mwaka jana au juzi wa namna ya kujibu swali la "why should we hire you", Kila nilipokua Nina interview nilibahatika kupitia ule Uzi kupata madini na andiko lako limenisaidia sana kusema ukweli.
Sent from my Infinix X6511B using
JamiiForums mobile app