Uzoefu unaonesha

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
4,510
Reaction score
6,893
hebu tujaribu kukifanyia mazoezi kiswahili chetu kwa kuandika sentensi fupi ikianza na :-
uzoefu unaonesha.................….



uzoefu unaonesha kila kiongozi anayeunga mkono juhudi za mzee wetu anaonekana amenunuliwa

uzoefu unaonesha kila id mpya inayoibuka humu jf ni ya memba aliyepigwa ban

uzoefu unaonesha humu jf kuna watu hawajui kusoma ila wanalike nyuzi zinazopostiwa na wengine

uzoefu unaonesha wengi ya wanaotaturiwa marinda hulazimika kukaa kimya kuficha aibu

uzoefu unaonesha watanzania wanataka kiongozi anayewachekea chekea

uzoefu unaonesha wanawake wengi wana ndoto ya kuolewa na matajiri

uzoefu unaonesha wanajf wengu hawajui jinsi max melo alivyopigana mpaka leo wana mahali pa kumalizia stress za kutawaliwa kibabe

uzoefu unaonesha wengi wanaotamani kwenda mbinguni wanaogopa kufa mapema

uzoefu unaonesha wengi ya waandamanaji huwa na nia ya kuiba na kuharibu mali za matajiri

uzoefu unaonesha kila anayeanzisha uzi humu jf wa kuipongeza serikali anaoga mvua ya matusi

uzoefu unaonesha watu wengi wafupi huwa ni wabishi
 
uzoefu unaonyesha ukitumia kitu fulani kinazidi kuwa bora zaidi, ndo mana me natumia nyeto kuzidisha ubora kwenye ......!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…