Wakuu naomba kuuliza hivi ndege kama Emirates inaweza kubeba tonnes ngapi? Kwani sijawahi kuona ukizidisha mzigo wako wakati wa check in ukaambiwa rudisha zaidi utaambiwa ulipie kila kilo iliyozidi. Ina maana ndege inaweza beba uzito wowote?
Ndege hiyo pia ina uwezo wa kubeba uzito wa tani 227. Uzito huo unajumuisha chombo, mizigo na mafuta. Sifa yake ni kwamba ina uwezo wa ...hio ni boeBoeing 787-800 Dreamliner
Wakuu naomba kuuliza HV ndege kama Emirates inaweza kubeba tonnes ngapi?kwani sijawahi kuona ukizidisha mzigo wako wakati Wa check in ukaambiwa rudisha zaidi utaambiwa ulipie kila kilo iliyozidi.INA maana ndege inaweza beba uzito wowote?
Ndege tu, aina ya Boeing 737 ina uzito wa Tani 110 approx. Japo kuna kuna ndege kubwa ya Kirusi inayotumika kubeba mizigo niliwahi kuiona kenya ikishusha mzigo wa Tani 70.
Samahan,
Unataka kununua ndege au umekosea,
Hiz specification hazitakusaidia, we lipa kanauli kako, beba kabegi kako ka adidas panda uende, haya mengne ni mbwembwe tu[emoji125][emoji125][emoji125]