Uzito mkubwa wa mtoto

Ehud

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
2,685
337
Nisaidieni mtoto wa mwaka na nusu ame overweigth ana kg 15 nifanyeje apungue
 
he unampa nini au mavitamin hayo but kama normal mwache nzuri mtoto kuwa healthy but usimvimbishe sana kwa kumpa chakula kila mara hata kama haskii njaa mpe anapotaka kula mwenyewe na usimpe mavitamin
 
Kwa kuwa bado ni mdogo anaweza kupungua. Mdogo wangu alikuwa na mtoto bonge mpaka alikuwa anampunguzia lishe. Sasa hivi ameanza shule amekuwa miss.

Ni kweli unene si mzuri kwani magonjwa yanayosababishwa na overweight yanawapata hata watoto these days.
 
Back
Top Bottom