Uzinduzi wa safari ya Air Tanzania yetu kwenda Dodoma!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Kazi ya kuijenga Tanzania yetu inaendelea kwa kasi, kazi iliyaonzishwa na waanzilishi wetu kuanzia Mlm.Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na mwisho Mzee Kikwete!
RG1A2393.JPG

Warembo wetu!
RG1A2402.JPG

Waziri Mkuu wetu akiwa safarini kueleke Mji Mkuu wetu!
RG1A2408.JPG

RG1A2421.JPG

Waziri Mkuu wetu mstaafu, Mpendwa Mzee Malecela!

RG1A2468.JPG

Spika wetu wa Bunge letu la JMTZ!

RG1A2471.JPG

RG1A2522.JPG

(Picha kwa hisani ya Blogu ya Michuzi!)

Karibuni nyote kuijenga Tanzania yetu, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu tubariki Watanzania!
 
(Picha kwa niaba ya Blogu ya Michuzi!)

Karibuni nyote kuijenga Tanzania yetu, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu tubariki Watanzania!
You don't have to prove anything to anyone if you think you are right....
 
Sijui mtazindua mara ngapi..!

Siku ikianza kwenda Chato si itakuwa baba la uzinduzi.

Fanyeni ya maana sio mambo madogo madogo haya mnatafuta cheap publicity.
 
japo abiria wanabanana kama ndani ya Dar Express nina mpango wa kwenda chato. zikianza route kwenda huko mnijuze.
 
Umenichekesha sana. Yaani roho mbaya ya kwanini imekufanya hadi ukose cha kuandika.
huwezi nielewa na niliandika hivyo ili kuona watu kama wewe wasioweza fikiri zaidi ya obvious. Katika nchi kama hii yenye shida kubwa kuliko waziri mkuu kuwa mzindua route ni kutojua vipaumbele. Route yenyewe sidhani kama inaonyesha mafanikio ya shirika. Sioni wapi nitapata wivu.Ni sababu za kishetani za wajinga tuu ili kujihalalishia upuuzi.
 
Let us be serious. Hivi Dar to DOM kuna mahitaji makubwa ya ndege? Hivi hii safari inalipa kibiashara? Kuna biashara gani kubwa zaidi ya wakati wa Bunge na hekaheka zisizoeleweka za kuelekea Dodoma.
 
huwezi nielewa na niliandika hivyo ili kuona watu kama wewe wasioweza fikiri zaidi ya obvious. Katika nchi kama hii yenye shida kubwa kuliko waziri mkuu kuwa mzindua route ni kutojua vipaumbele. Route yenyewe sidhani kama inaonyesha mafanikio ya shirika. Sioni wapi nitapata wivu.Ni sababu za kishetani za wajinga tuu ili kujihalalishia upuuzi.
Acha kujaza server kwa upupu mbichi hapa. Vipaumbele vyako vipi vimeathirika na huo uzinduzi???
 
gharama ya uzinduzi wa route ni millions nyingiiii na faidi ya route ni 2000/==.
Waziri Mkuu anazindua route ya safari za ndani ya ndege za shirika lenye CEO, CEO kwanini asizindue route na Waziri mkuu aalikwe kwenye champagne ya kushangilia shirika likiwa limevunja rekodi ya faida??
 
Acha kujaza server kwa upupu mbichi hapa. Vipaumbele vyako vipi vimeathirika na huo uzinduzi???
Ulichoandika tuu inaelekea hata nikitumia karne huwezi badilika.Umekosa malezi tangu utotoni,umeliwa ubongo na zika ukiwa tumboni, umezaliwa na uzao kaka na dada, kwa ujumla huna pa kusaidika.Kwa ujumla wewe ni hasara hukupaswa pewa internet na forum kama hii.Ndio maana wenzetu huwa wanajitahidi sana kuzuia watu fulani wasifike.Kwani vitakatifu watavigeuza kuwa vitu vya kawaida tuu.Ndio maana hadi sasa kila mtu anajiona anaweza urais wa tanzania, kila mtu anaona kwamba anaweza kuitwa mchambuzi.Kila mtu anajiwgawia kitengo tuu.
 
Mkinunua Boeing 889CD mtaizindua kwenda nao Washington
Hasira yako ni kitu gani? Mbona haya ni mambo ya kawaida sana, hata kwenye miradi ya binafsi! Jamani hii zomea zomea wakati mwingine haina tija!
 
Ulichoandika tuu inaelekea hata nikitumia karne huwezi badilika.Umekosa malezi tangu utotoni,umeliwa ubongo na zika ukiwa tumboni, umezaliwa na uzao kaka na dada, kwa ujumla huna pa kusaidika.Kwa ujumla wewe ni hasara hukupaswa pewa internet na forum kama hii.Ndio maana wenzetu huwa wanajitahidi sana kuzuia watu fulani wasifike.Kwani vitakatifu watavigeuza kuwa vitu vya kawaida tuu.Ndio maana hadi sasa kila mtu anajiona anaweza urais wa tanzania, kila mtu anaona kwamba anaweza kuitwa mchambuzi.Kila mtu anajiwgawia kitengo tuu.
Mkuu, umeandika maneno mengi lakini ni upuuzi mtupu. Halafu eti akili kama hizi ndio zilitaka mwaka 2015 zipewe nchi.

Mnashindwa kutumia nguvu ya hoja katika kuhalalisha uwepo wenu, ngao yenu kubwa ni matusi na kebehi. Very Cheap Brother Nicholas.
 
Back
Top Bottom