Hapo Ndipo ATCL mnapofeli hizo ndege basi wapande hao hao green party
Ni wanachama wapya wanamsubiri Polepole awakabidhi kadi za baada ya kuhitimu mafunzo ya itikikadi!Hicho ni kikao cha chama
Kwani wewe umepeleka gwanda ukazuiwa? Huwa husikii Magu akisema maendeleo hayana chama? Husikii magu akisifia pindi akiona kuna nguo za blue na nyekundu kwenye uzinduzi?hapo ndio hukichukia hiki chama, wao kila kitu ni siasa, na nahisi hulazimishwa na wakuu wao, kodi tunakatwa wote na wasio na vyama, ufunguzi wowote wao nguo za chama, ajabu wanaotoa amri huwaoni wakivaa hizo nguo, na hapo kama mfanyakazi wa serikali hajaenda ni suspension au afukuzwe kwa kubambikiwa kosa
Huwezi mchagulia mtu avae nguo gani kwenye shereheHicho ni kikao cha chama
Hata nyie hamkuzuiliwa kwenda na magwanda yenuhapo ndio hukichukia hiki chama, wao kila kitu ni siasa, na nahisi hulazimishwa na wakuu wao, kodi tunakatwa wote na wasio na vyama, ufunguzi wowote wao nguo za chama, ajabu wanaotoa amri huwaoni wakivaa hizo nguo, na hapo kama mfanyakazi wa serikali hajaenda ni suspension au afukuzwe kwa kubambikiwa kosa
tz sio ya ccm ni yetu soteHata nyie hamkuzuiliwa kwenda na magwanda yenu
Pia kwanini Precision na wao wasiiachie ATCL?MTWARA HAKUNA BIASHARA SIJUI KWANINI ATCL HAWAIACHII PRECISION