Uzinduzi wa kampeni za mgombea ubunge wa UKAWA Dimani.

Kwa kasi hii ya Rais Magufuli sijui kama kuna mwananchi mwenye akili timamu atakayewasikiliza UKAWA tena.
 
Propesa anayejiita Mwenyekiti wa Chama huku akiogopa kuhudhuria Mkutano wa ufunguzi wa Kampeni ya Ubunge ana manufaa gani kwa Chama?.
 
Lowasa alizoa Kura Nyingi za Urais wa Tanzania kwa upande wa Zanzibar kuliko mgombea wa chama chochote hivyo atatumia Mkutano huu kuwashukuru kwa kumuamini.
 
Sasa anaingia mtu mwenye Kichwa cheupe kinaonekana kimekolezwa rangi. Anyway UKAWA was finished.
 
Propesa anayejiita Mwenyekiti wa Chama huku akiogopa kuhudhuria Mkutano wa ufunguzi wa Kampeni ya Ubunge ana manufaa gani kwa Chama?.

Na Nyinyi Mna maana gani kushiriki Uchaguzi mkiwa mnajua Tume si huru? Au Uchaguzi huwa si huru na haki kutegemea Matokeo mtakayopata?
 
Naangalia Chanel 10.....mpaka muda huu hawajaripoti habari za Dimani/Unguja.

Nasubiri Azam news ama ITV nijionee mafuriko.
 
Back
Top Bottom