likuwa fair nitawaletea picha za uzinduzi wa CCM...
likuwa fair nitawaletea picha za uzinduzi wa CCM...kama kuna ambae ameshafika sehemu ya tukio atupie hapa....
Watakuwa wameambiwa kuwa "Chakula mtapewa hukohuko"Mkuu tunakutegemea kwa update, nipo hapa corner nirobi nimekutana na lori na cruisers zikitokea Monduli kuelekea Arumeru. Watu waliobebwa kwenye Lori wanaonekana wamechoka sana.
Shibuda keshawasili??
Watakuwa wameambiwa kuwa "Chakula mtapewa hukohuko"
Wamekata umeme mi nilitegemea kutizama kupitia TBC
Nasikia Maalim Seif nae ndani ya Arumeru uzinduzi wa Magamba!Shibuda keshawasili??
Nasikia wanasombwa na malori tangu jana hadi leo.Wapo waliotoka Monduli,Loliondo mpaka wapare wapo.
utakuwa umeshapewa commission na Mwigulu. Tahadhara ya kutosha kwa mkeo crash
Mimi niko hapa maeneo ya mianzini imepita kenta wamejazwa wamama walovaa nguo za kijani na njano nao wanapelekwa kuzindua Arumeru...Mkuu tunakutegemea kwa update, nipo hapa corner nirobi nimekutana na lori na cruisers zikitokea Monduli kuelekea Arumeru. Watu waliobebwa kwenye Lori wanaonekana wamechoka sana.