Tar 26/11/2011 Vinega Mbali mbali wakiongozwa na Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu watazindua album yao Maarufu kwa jina la Antivirus. Ningependa kuwashauri pesa zitazopatikana kwenye Show hiyo zitumike kuanzisha Mfumo mwingine wa Kukuza vipaji utakaofanikisha Wasanii kufaidi kazi zao bila Kudhalilisha UTU wao. Sugu Mkifanikwa katika hili Historia itawakumbuka