Uzinduzi wa antivirus: Pesa zitumike kujenga mfumo mbadala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzinduzi wa antivirus: Pesa zitumike kujenga mfumo mbadala

Discussion in 'Entertainment' started by Albedo, Nov 25, 2011.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tar 26/11/2011 Vinega Mbali mbali wakiongozwa na Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu watazindua album yao Maarufu kwa jina la Antivirus. Ningependa kuwashauri pesa zitazopatikana kwenye Show hiyo zitumike kuanzisha Mfumo mwingine wa Kukuza vipaji utakaofanikisha Wasanii kufaidi kazi zao bila Kudhalilisha UTU wao. Sugu Mkifanikwa katika hili Historia itawakumbuka
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  naona mnyukano wa kesho ni noma..ila vinega nawaunga mkono
   
 3. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  nasimama kwenye ukweli. VINEGA
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  WAFU fm kesho wanalamba vumbi tu!!!
   
Loading...