Kwa mara ya kwanza si ndio?
Ni stori ndefu sanaNini kilitokea mpaka jana uka-trend kichwani mwako mkuu?
Hakika mkuu,mimi nilitumiwa clip ya mchungaji akihamasisha 75% ya kipato ipatie raha familia sio kila hela unajengea tu. Juzi nikapata 1m haikuwa kwenye bajeti nikaamua niigawe yote 60% kwa familia na 40% itumwe kwa wazazi pande zote. Naambiwa hiyo hela si bora tununue kiwanjaPole sana Mkuu. Wanawake acha tuu. Kuna post humu inasema kuishi na mwanamke inahitaji moyo wa chuma.
😀😀😀😀😀😀😀Hakika mkuu,mimi nilitumiwa clip ya mchungaji akihamasisha 75% ya kipato ipatie raha familia sio kila hela unajengea tu. Juzi nikapata 1m haikuwa kwenye bajeti nikaamua niigawe yote 60% kwa familia na 40% itumwe kwa wazazi pande zote. Naambiwa hiyo hela si bora tununue kiwanja