Ngoja nipitieVinyago/midoli vina roho - JamiiForums
Huwa tunafuga majini, vinyamkera, madogoli na roho chafu majumbani kwetu bila kujua. Tunanunua vinyago na midoli ya gharama kwa ajili ya kupendezesha sebule zetu na wakati mwingine kama kampani vitandani mwetu... Hatutishani lakini ni hatari, vina roho hivi vitu! Wengi wetu tumeshawahi kuona...www.jamiiforums.com
Ndio! Tumewanunua kwa ama mali au fedhaNyie ndio wale wakoloni mnaoamini wanawake ni mali zenu
[emoji44][emoji44][emoji44]
Sanamu nazo zinafaidi
[emoji44][emoji44][emoji44]
Future wife
Huyo wa kushoto inaonekana suti ilikua imemkaa vyema sana