Safisha machoHuyo mrembo ni mkaliii sanaa
Hiyo picha ya kwanza demu wangu akipiga picha hivyo naweza vunja hiyo sanamu shenzi kabisa!
Ndio nimemnunua toka kwa wazazi wake!Nyie ndio wale wakoloni mnaoamini wanawake ni mali zenu
HUJANUNUA BALI UMETOA MAHALI,Ndio nimemnunua toka kwa wazazi wake!
Huyo mwenye pink ndio balaa