Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,048
- 35,252
Wakuu,
Pamoja na Sanamu kutoongea au kufanya vitendo,binadamu wamezipa uhai na kuzifanya zionekane kama zinafanya matendo mbalimbali,kama vile kuongea,kukimbia,kutumia simu nk.
Lengo ni kufurahisha na kuburudisha.
Tupia Picha za vituko wanavyofanyiwa Sanamu duniani kote tufurahi!
Karibuni!