Leo nimepiga hela nzuri matumizi ya mwezi mzima
Najikuta naimba tu nyimbo za Bob Marley na Kuck Dube
Sema nimekosa mbege tu, ila Mungu amtupi mja wake. .
Nimeamka fresh nipo job "Call"..nishakunywa supu na soda ya baridi hapa nashushia tu na maji nikisubiri kumaliza kazi niende kujirusha plus kuangalia games za leo..Man City na Westham,,Dodoma Jiji na Yanga.