Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,453
- 2,404
tupia picha yoyote ya photo lab unayokutana nayo mtandaoni hapa..
🤣🤣Ndio nini hiyo photo lab huko Daslama? Tuelimishe wengine hatujui chochote.
daslamu mbuzi wanauzwa kwenye maguniaNdio nini hiyo photo lab huko Daslama? Tuelimishe wengine hatujui chochote.
Kwahiyo hao ndio photolab wenyewe au? Tueleze hiki ni nini? Sio wote tupo Daslama.
mlevi nawewe hujui Foto laba. post hata gongo tuu
Gongo sawa. Ila foto lab sijuimlevi nawewe hujui Foto laba. post hata gongo tuu
au hata konyagi nitumie tuu.Gongo sawa. Ila foto lab sijui