Msimu huu asubiri kidogo. Wemb anacheza kama vile hana njaa. Hilo ndio linalonichukiza. Yeye na Antony Edwards wapo vizuri lakini hawachezi kwa njaaView attachment 3494352
Usishangae dogo kuwa MVP wa kwanza mwenye umri mdogo kama sio msimu huu, lakini inakuja.
Yap Maxey is establishing himself as a superstar this season.Msimu huu asubiri kidogo. Wemb anacheza kama vile hana njaa. Hilo ndio linalonichukiza. Yeye na Antony Edwards wapo vizuri lakini hawachezi kwa njaa
Namkubali SGA huwa hana utani, msimu huu aliyenisurprise ni Tyrese Maxey. Aliyenidisapppoint ni Donavan Mitchell
Bado SGA atakua mvp msimu huu pia
RRONDO karata yako inaenda kwa nani au bado mapema?
Maxey akiendeleza huu moto atamchallenge SGA,Yap Maxey is establishing himself as a superstar this season.
Kuna watu wengi wapo vizuri msimu huu tatizo ni supporting cast in their teams. Mfano James Harden is putting good numbers.
If you ask me who is the leading contender for MVP this early in the season. In my opinion, the answer is Luca Doncic dude is just ridiculous.
Harden is not going to be MVP nime mention jina lake kwa sababu msimu huu since leaving Houston has become offence minded again.Maxey akiendeleza huu moto atamchallenge SGA,
James Harden hana consistency, huwa yupo kama Jayson Tatum. Mpaka siku awe na mood ndio anakua na game nzuri
Luca Doncic yupo vizuri tatizo Lakers wachovu hivyo hatatoboa.