Uzi wa mgombezo yaani wewe gombeza tu ...

Jay Fwemfwe

Member
Apr 6, 2022
27
14
Kuna muda au zile situwesheni unakasirisha na mwingne lakini hasira zako unamtolea mwingne tena hata hahusiki kabisa naamini wote tunazo .

Bosi kazingua ukirudi unaanza na mke unagomba tu hata vitu havipo,au mme kakutukana usiku asubuhi unaamka na house girl katika hali ya kawaida ni hawahusiki et .

Huna rejesho na muda umefika na huna pa kuitoa eb gomba katika Uzi huu usihamishe kwa mtu hausiki au bosi hazinguliwi right? lkn lbda kuna tabia yake huipendi eb mkazie macho humu may be yumo humu mpe vyake.
Gomba kuhusu biashara , mapenzi,ma lecturer ,jirani ,bosi ,mama mke/ baba mkwe et unaanzaje kumgombeza lkn bt humu ur free ok eb fungua roho utoe uzito .
Mi nitagomba kuhusu biashara yangu na hawa majirani zangu kudadadeki pumbavu zao .
"Ina maana duka langu linalipiwa kwa yen et mnapita tu ,yaan unatembeaaa unarudi na nyanya tu na umezipita unakomoa au izo znalimwa juu ya nyumba na sitafunga ng'o nafungua hata kama hamji nyau.
Najua sometimes huwezi sema coz ni uhuru wa mtu na sometimes ana haki lakini anaudhi ongea nae hapa .......
 
Baada ya Mafuta kupanda..
Unga kupanda
Vifaa vya ujenzi kupanda..

Naona mashetani nayo yanapandisha geji "gauge"
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Spaenda kabisa hii bangi ya leo yani inachelewa sana kujaa kichwani, inakuja poa ila kizembe.
 
Nasemaje mnazingua,sio Poa wala nini,hata msiponitembelea shauri yenu wenyewe,waangalie kwanza!
Nalog off Z
 
Mnzyuu! We jinga kwelikweli. Yan unataka watu wagombezane tuuu halafu nawewe unakaa hapo kucheka-cheka tu; Je, wakiumizana? Acha bhanaa. 🤣 🤣 🙏
Kugombeza kuna kaujinga hivi huwa na enjoy , yaan unasahau kabisa ulikuja peke Ako duniani zingine fadhila tu,
 
Kugombeza kuna kaujinga hivi huwa na enjoy , yaan unasahau kabisa ulikuja peke Ako duniani zingine fadhila tu,
Kugombeza kunaashiria kuna kitu mtu stahiki hakukifanya sawasawa kwa makusudi na hivyo kuna madhara yanaweza kutokea. Huwa sipendagi kusikia au kuona mwanamke akimgombeza mwanamke mwenzake mtu mzima.
 
Awamu yetu ile ya watetezi wa wanyonge kila mtu alikuwa anagomba na mambo hayaendi , hihihiiih !
 
Back
Top Bottom