EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
ukigugo israel f35 over iran utapata webs nying zimeripotiTatizo lako huutaki ukweli niletee chombo chahabari mnavyoviita vyakuaminika
Hilo gazet ukitoa habar hio unaijua habar ipi nyengine ambayo yakuaminika iliiandika ?!
Kuwait na saudia lao moja.We jamaa unafurahisha sana, Hadi waarabu wenzako unawananga?
Mnawalaumu ndugu zenu eeeh??Kuwait na saudia lao moja.
nipe mbili tu ambazo hua mnazoziita zakuaminika usinambie zipo nyingiukigugo israel f35 over iran utapata webs nying zimeripoti
Ukiambiwa ukweli unaumia sana mzee dah....Mnawalaumu ndugu zenu eeeh??
Sa mkuu wao si waarabu na waislamu wenzenu?? tena Saudia si ndio chimbuko la dini yenu?? sa ukweli gani uniumize mimi?Ukiambiwa ukweli unaumia sana mzee dah....
ni zipi hizi mkuu??mnazoziita zakuaminika
Did Israeli Stealth F-35s Do the Unthinkable: Fly Over Iran?nipe mbili tu ambazo hua mnazoziita zakuaminika usinambie zipo nyingi
Hapa wala hatuongelei uarabu wala uislam sasa sijajua unataka kutuaminisha nini juu ya hiliSa mkuu wao si waarabu na waislamu wenzenu?? tena Saudia si ndio chimbuko la dini yenu?? sa ukweli gani uniumize mimi?
Unatenganishaje Saudia na Uarabu/uislamHapa wala hatuongelei uarabu wala uislam sasa sijajua unataka kutuaminisha nini juu ya hili
Mada nyengine halaf unaleta uarabu na uislam unataka tuongelee lipi sasa mbna hueleweki mkuu ?!.
Hatukuuongelea uarabu wala uislam MKUU huo uarabu na uislam umeuleta wewe.....Unatenganishaje Saudia na Uarabu/uislam
I'm not trying to twust things around but its converging to the same point (Israel - Arab war)
au unawemaje mkuu
Acha kumeza maneno ya kuambiwa tenga muda usome vitu uelewe.
What about the coalition USA,Uk,Fr,ISrael,Saud and Turkey against Assad?He's no Assad just incase he opts to go without Putin! He's got a good backing, in other ways he is a lucky stiff!
Kwa sis ngoma ngumu mkitumiaga lugha hii ya bint Eliza mnatutoa nje ya mchezoHe's no Assad just incase he opts to go without Putin! He's got a good backing, in other ways he is a lucky stiff!
Wameshindwa wapi wakati nchi wameiacha mgofu na bila raia walio wengi wameyakimbia nchi yao? huo sio ushindi? mfumo wa elimu na uzalishaji mali umekufa kabisa hapo bado hawajashinda?
Sasa unaposema Mh Rais Asad ameshinda ameshinda kwasababu yupo ofisini au? huo ushindi wananchi wa Syria ukiwaambia watabaki wanakushangaa na kukwambia unawadhiaki make wamepoteza mengi sana.