Sawa #msataafu wa mapenziHiyo ni kwa wanaume, mumeo akija ani-pm
Nikupongeze mkuu kwa darasa huru ulilotoa, kama ulivyo waelezea wanawake kwa utofauti wao ndivyo na wanaume tuko na utofauti pia, wapo wanao enjoy kwa kufanya taratiibu na wapo wazee wa bampa to bampa na wachache tuliobakia ni wale tunao badirika badirika kutokana na mazingira ili kukidhi mahitaji ya mhusika.
Ikumbukwe pia wapo baadhi ya wanawake hupenda kumiliki dimba'ili kuhakikisha mtu alienae anaifurahia faragha, na wanaume ni hivyo hivyo wapo baadhi humfanyia mwanamke kila kitu ili amridhishe.
Kwa uzoefu wangu faragha jimai hutawaliwa zaid na mazoea, uwezo binafs wa mtu na mahitaji maalum, kwa nilipo fikia sihitaji kutumia nguvu au ufundi mwingi kumridhisha mwanamke zaid nahitaji mtu atakae tumia ufundi kuniridhisha mimi.
Tuko pamoja MkuuMkuu, Umeongea mambo ya msingi kabisa. Hongera kwa hatua uliyofikia
Hii yote kisa mwanamke ase.. mtu sio ndugu yako bado umpe raha za kitandani plus fedha in the end napata nini? Me chapa ufike usifike utajua mbelembele.. Hii aunotomy ya mwanamke kwangu ipite kushoto.
Mkuu joka jeusi, kuhudumia mwanamke, kulea na kuhakikisha labda kama mnawatoto wanapaa mahitaji yote muhimu tena kwa wakati ni la baba (mwanaume) hapohapo kumbuka nikiwa faragha pia nianze kustress over yeye labda nifanye ivi afike au ichi, mwisho wa siku nakua nalemewa na kazi labda za kiofisi au majukumu binafsiNi moja ya majukumu ya mwanaume Mkuu. Acha kukimbia majukumu. Mbona wao kazi yao ni kupika, kuosha vyombo, kufua, kufanya usafi, kulea watoto na kuwasafisha. Kuhakikisha unakuwa sawa. Ni majukumu tuu. Labda nikushauri tuu. Ogopa kukimbia majukumu utajuta baadae
Mkuu joka jeusi, kuhudumia mwanamke, kulea na kuhakikisha labda kama mnawatoto wanapaa mahitaji yote muhimu tena kwa wakati ni la baba (mwanaume) hapohapo kumbuka nikiwa faragha pia nianze kustress over yeye labda nifanye ivi afike au ichi, mwisho wa siku nakua nalemewa na kazi labda za kiofisi au majukumu binafsi
Then kinachotokea nakua sipo kwenye right mind yakumfanya a appreciate tendo let alone mm mwenyewe inakua too much to handle all at once nimwaze yeye niwaze mtoto(watoto) plus maendleo.. Nadhani ii imeeleweka mkuu
Yani namwambia mama yoyo
Nikiwa namuandaa nikiona simsomi natumbukiza ukuni tu
Akiwa bado hajielewi nafunga na goli baada ya dak tano tu
Nalala zangu
Hizo picha za ngono ulizoadisia hapo namwambia tukutane nazo weekend ila sio kat kat ya week kichwa changu kinakua na moto sana labda niwe nimepiga hela ndefu au naye ana moto balaa