Uzi maalumu wa vifaa vya ujenzi

Uzi maalumu wa vifaa vya ujenzi

Nami nauliza tiles nzuri za kuweka kwenye nyumba ni zipi? Na je kwa nyumba ya urefu wa mita 8 na upana mita 6 (mstatili) haina kona kona nyingi inaweza nigharimu kiasi gani kwa gharama za tiles tu? Msaada wajuvi wa mambo ili nifanye finishing kwenye kibanda changu, niko mwanza ilemela.
Hello,
Mim nijuavyo Tiles zote huwa zinapakiwa kwenye maboksi kwa square metre hivyo chakufanya upime metre za eneo za sehemu unayotaka kuweka tiles ndipo unapoweza kujua ni boksi ngapi utahitaji.
Kuhusu aina za tiles na ubora unatakiwa kujua kwani zinatofautiana kutokana na mahali unapoaenda kuweka kama chooni jikon na sehemu zingine. Ubora wa tiles: kuna ceramic ( porcelain) kutoka nchi yoyote ni imara na hazichubuki na ceramic ( regular) hizi ndo tiles nyingi zinazotoka china.
Unawezaje kujua kama hii ni porcelain au ni regular? porcelain ukimwaga maji huwa haifyonzi( absorb) lakin regular ukimwaga maji inafyonza (absorb), kuhusu mambo ya maua na muonekano wa tiles hii nafikiri kila mtu ana utashi wake.
 
Tafuta wakala yoyote aliekaribu wana mawakala wengi mno pia geji 30 wengi wetu wajengao nyumba za kuishi huwa tunatumia hizo mambo geji 28 sana sana wanatumia kwenye viwanda na premises kubwa za kampuni hivyo tembelea mawakala walio karibu yako utapata ufafanuzi mzuri tu.
Mkuu bati za alaf kwa kanda ya kaskazini wanauzaje kwa mita kwa geji 28 na 30? Je kuna madhara gani endapo nitaezekea geji 30?
 
Naomba msaada wapi naweza kupata warning tapes kwa matumizi yafatayo
Low voltage electrical line For water line and sewer line
1589101126703.png
 
Back
Top Bottom