baunsamuoga
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 285
- 398
Mti huu ni dawa ya kuvunja uchawi wowote mwilini Kwa mtu aliyelogwa,, magamba ya mti weka ndan ya ndoo ya maji changanya na chumvi ya mawe na majani ya mbaazi/ majani ya mti wa mmbaauzi oga Kila siku asubuhi na jionKwa walioulizia muegeya ndio huu hapa, wengine wanauita Mvunge.
View attachment 2276653View attachment 2276654
Ishu ya masikio dawaMkuu ni dawa ipi ya asili kwa wenye shida za masikio
Yanayotokana na maziwaKwenye tiba zahasili mafuta ya ng'ombe niyapi yanayotakiwa yale yanayo tokana na maziwa au yale yaliomo ndani ya mwili wa ng'ombe,
Mwenye kuifahamu tafadhali
Kaka heshima takoPia waweza changanya mafuta ya nazi na unga wa karafuu ukawa unapaka, kidevu kitageuka kama cha school boy.
Changanya na mafuta ya Nazi jipake utastaajabu.Kaka heshima tako
Je unga wa karafuu unaweza ondoa makunyanzi usoni?
Na kama ndio je unautumiaje
Mafuta ya naz haya wanayouza madukan kwetu au yapo mengine specialChanganya na mafuta ya Nazi jipake utastaajabu.
Ukiyatengeneza mwenyewe ni bora zaidi mkuu.Mafuta ya naz haya wanayouza madukan kwetu au yapo mengine special
Tupe mchakato wa kuyatengeneza kaka ili usaidie watu wengiUkiyatengeneza mwenyewe ni bora zaidi mkuu.
Namwambia fasta .AsanteKama yupo kijijini mwambie apikiche majani ya tumbaku halafu apake kwenye nyayo za miguu..
Atalala huyo mpaka mkamwamshe.
Atafute namna ya kuondoa stress huyo pia.
Mziwa ziwa ukichanganya na mashika nguo na mchaichai ni dawa nzuri kwa mwenye vidonda vya tumboWadau eti humu kuna mtu anajua huu mmea na faida zake kiafya?View attachment 2465193
unatakiwa utumie vitamin c serum yenye hyluronic au niacinamide serum pamoja na rosehip oil halafu uwe unakunywa na collagen, ukihitaji just pmNahitaji kuondoa makunyanzi uson
Je nitumie kipi na kwa mda gan mana yanazingua sn
Mti wa mbaaziMimea ipi ipo against nguvu za Giza mfano kuzuia wachawi mashambani,mtu mbaya home
So unaipanda na mazao mengineMti wa mbaazi