fursa nadhani zipo ipo ni wewe na akili yako na mazingira uliyopo,,,mfano kwa wakazi wa dar ambao wanakaa maeneo yaliyochangamka au wanaokaa maeneo karibu na shule,biashara ya asikirimu ni nzuri na aihitaji nguvu nyingi,unaweza pia jifunza kupika bites then ukajitanganza,upishi wa kwanza na wa pili usitegemee faida jitaftie soko peleka sample zako wazione,..kama hujui kupika jifunze!! yanafundshika...
kama unataka biashara za kueleweka (za mitaji mikubwa) angalia mahali ulipo kama movements fungua duka la nguo na vifaa vya watoto wa dogo...ni biashra nzuri sana sema inataka subra,...au kama una utaalam fungua duka la dawa,,,(nliskiaga mtaji kama 15M) sema hii ipo kisomi zaidi...(kariakoo kuna maduka kibao ya dawa za jumla)
kwa aliepo mkoani jifunze makeup na gele za kinaijeria...utaweza sana kuliteka soko kama ukijitangaza na ukiwa na mkono mwepesi( wapo watu kibao dar wanafundisha,,bei zinaanzia laki 5 na inabdi ujifunze sio chini ya miezi 3)
biashara nyingne nono ngoja niikaushie kidgo jaman...
mawazo yangu yameishia hapo japo najua yame base kwny biashara za kufanya wanawake na yenye faida ndogo ndogo ila ukijitahidi utatoka tu
sijataja kilimo coz bnafs hio biashara siipendi japo inalipa ila kwa kweli stress za kujua aina ya ardhi,mbolea sijui nn hayo nawaachia kina Ontario