Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,133
Toa Ushauri wa Kizalendo Hapa Dhidi ya Serikali Yako, Haijalishi Itikadi yako kichama, dini au Kabila
Karibuni
Karibuni
naomba viwanda vya kubet viongezwe maana vimefanya vizuri sana awamu hii!
nchi kama monaco,gilbrata spain ,jimbo la nevada kule us kamari ndio unaendesha uchumi wao
ila kuota ndoto za mchana ni kuwaza tz kuwa na viwanda vya magari,electronics etc....... hata ulaya industrial revolution ilianza miaka 200 Iliyopita,Tutafika ila sio leo wala kesho tuache kuwaamini wanasiasa
Sipingi hili wazo ni zuri na jema, lakini je muktadha wa utekelezaji wa shughuli za uchumi kwa njia hii katika mazingira ya nchi yetu utawasaidia watanzania walio wengi?naomba viwanda vya kubet viongezwe maana vimefanya vizuri sana awamu hii!