Uzi maalumu kwa wana Singida/Singapoor

El'son

JF-Expert Member
Jun 3, 2012
380
324
Wanasema kama hujatereza kwenye bomba za ng,ongo pale singida Mjini, hupajui singidani na kindai basi wewe hujazaliwa singida mjini.

Huujui ukumbi wa utamaduni kwenda kucheza mchizi basi nawe hujazaliwa singida mjini.

Ila kwa wale wala bada wanayajua maeneo hayaa wa miaka hiii
1. Kirima pub
2. Serengeti
3. Rode
4. Sky way
5. Kbh
6. Nk ongeza unayoijua wewee.
 
kweli huu ni ujinga.... !

Fursa zilizopo Singida... Bei za viwanja Singida.... Ulimaji wa Vitunguu & Alizeti.... Mashine za kukamulia alizeti...
 
Wanasema kama hujatereza kwenye bomba za ng,ongo pale singida Mjini, hupajui singidani na kindai basi wewe hujazaliwa singida mjini.

Huujui ukumbi wa utamaduni kwenda kucheza mchizi basi nawe hujazaliwa singida mjini.

Ila kwa wale wala bada wanayajua maeneo hayaa wa miaka hiii
1. Kirima pub
2. Serengeti
3. Rode
4. Sky way
5. Kbh
6. Nk ongeza unayoijua wewee.
Wewe jamaa kila uzi utakaoleta ni kihoja tu!sasa umeandika kitu gani hapa?
 
Ila jamani mie nawa mind sana akina dada wa Kinyiramba! shemeji zangu sifieni kwenu bana! kwenu pazuri sio mchezo!
 
Back
Top Bottom